Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Kuna watu wameoza meno jameni. Halafu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi anataka kung'oka nao.La sivyo tuishie kunyonyana lips tu inatosha.
Lips nazo HIV inaweza kupitia humo kwenye mate
 
Watu wana tafunaga mpaka meno nilijuaga ni lips na ulimi tu 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…