Mimi kwangu mafanikio ni muunganiko wa mambo matatu.Lakini mbona wapo watu wengi ni wapagani hawamjuwi Mungu, hawahudhurii makanisani wala misikitini na bado ni matajiri wa kutupwa?
Hayo mabaya na mazuri unamaanisha mema na dhambi ??Mungu ndio hukupa hiyo roho ya jitihada ili akupe bahati yako.
Unafikiri spirit ya mtu kufanya kazi inatoka wapi?
Lakini pia mtu asipokuwa na ari ya kufanya kazi Unafikiri hiyo inatokana na nini?
Unaposema Mungu unamaanisha chanzo cha yote uyajuayo na yale usiyoyajua. Yawe mazuri au Mabaya. Yeye ndiye mbunifu, mtunzi na muimbaji wa kila kitu.
Umebarikiwa kuwa na vyote hivyo shukuru Mungu. Kuna wenzio ambao hawajui hata siku inaishaje. Tunatakiwa tuishi tukiwaza kwa namna hio sababu dunia haina usawa. Mbaya zaidi tumewapa dhamana watu wenye aina yako ya ufikiri ndio maana leo bongo iko ilivyo.Kwanini unawaza kufika hiyo hatua ya kukosa kodi?
Maisha ni kuwa na PESA bank na cash flow na hisa kadhaa
Hapo kwenye mifumo ya nchi husika ndio umepiga penyewe. Hatuwezi kuharibu mifumo mizuri ya vijana kufanikiwa, kuendekeza mifumo mibovu isiorafiki kwa vijana kutoboa afu tuje tumlaumu Mungu au tukomae kwamba Mungu ndie moangaji wa yote akati yeye mwenyewe alitupatia akili na utashi wa kupambana na kuendesha mambo yetu wenyewe.Mbona watu wanoishi dunia ya kwanza wanatimiza hayo malengo Kama nyumba ,gari na kuwa na familia nzuri under 30 yrs.
Mimi naamini katika MUNGU Ila pia naamini MTU kuishi below the average hutokana na mindset na mifumo ya nchi husika.
Umebarikiwa kuwa na vyote hivyo shukuru Mungu. Kuna wenzio ambao hawajui hata siku inaishaje. Tunatakiwa tuishi tukiwaza kwa namna hio sababu dunia haina usawa. Mbaya zaidi tumewapa dhamana watu wenye aina hio ya ufikiri ndio maana leo bongo iko ilivyo.
😂 😂 😂Mtu anamgonga mama yake mzazi kila mwezi.
Nakwambia hivi [emoji116]Kwanini kila mada ya Mungu unapata uchungu sana
Wewe humuamini Mungu una haki hiyo move on lakin kila ukisikia mambo ya Mungu unatokwa na povu una shida mahali
Kuna sehemu nime kulazimisha Mungu hayupo?Kwako wewe hakuna Mungu ni sawa
sasa usitake ulazimishe huo ni ushamba
Usijali utapata mwingine, njoo inbox tuyajenge.😃Acha tu mnafiki wangu walinipiga na kitu kizito na mume wakaniibia
Hata mleta mada pamoja na wewe kusema huyo Mungu ndio anapangia watu maisha ni mitazamo yenu.Huo ni mtazamo wako
Life is not predictable.Sijui ndio ridhki ama ndio zali, bahati, uwezo binafsi au nyota ya mtu..
Ila nilichokisoma kwenye life, unahitaji mtu wa kukuinua maana hata Mungu hashuki chini kuja kukuinua ila hutumia watu.
Nimekutana na watu ambao wapo hardworking, passionate, God fearing, talented and skilled yaani wana kila sifa za kutoboa ila hawajapata sehemu na watu sahihi wa kuwainua
Halafu kuna wale ambao ni average tu na wengine ni wavivu pasee kama hawa tunaokutana nao kwenye ofisi za umma lakini wanatoboa kwa sababu wapo kwenye system lakini pia wana back up
Kwa hiyo maisha ukiyafikiria kiundani utakosa majibu ila cha msingi uishi tu
Mungu huyo ameshindwa kuwapigania watoto wachanga wanaokufa kwa umaskini, njaa, vita, magonjwa sehemu mbalimbali duniani halafu aje kunipigania mimi..!!Mungu ampiganie
For sureKuwa Mlokole au mwenye haki hakukufanyi ufanikiwe.
Unafanikiwa kwa sababu Mungu ndiye ameamua ufanikiwe.
Waliofanikiwa wengi wao wanakiri kuwa hawakutegemea kama wangefanikiwa. Yaani wanaita ni bahati.
Wengi wanaofeli wanafeli kwa sababu wanaamini katika uwezo wao wenyewe.
Tafuta waliofanikiwa wote wanafanana katika jambo moja. Kuamini kuwa mafanikio ni majaliwa ya Mungu
Usiwe na hasira tafadhali mkuu...plzMungu huyo ameshindwa kuwapigania watoto wachanga wanaokufa kwa umaskini, njaa, vita, magonjwa sehemu mbalimbali duniani halafu aje kunipigania mimi..!!
Huyo Mungu hajielewi kabisa.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Pamoja nakwamba hatuijui kesho yetu hiyo haituzuii kutaka vile tunavyotaka kuwaMarais wote nchi yetu hawakutegemea kama wangekuwa marais. Na wale waliokuwa na uhakika wa kuwa Rais hawakuwa.
Maisha sio mchezo
Apo tunasema umewekeza utajiri not successLakini nyumba na gari Mimi naona ni mahitaji ya muhimu Ila sio mafanikio Mimi nayatazama mafanikio yangu ninapokuwa na uwezo wa kuwafanya watu wengine wapate. Mahitaji yao kupitia mimi
Upo serious au mataniUsijali utapata mwingine, njoo inbox tuyajenge.😃