Kabla ya maisha kuwapiga Watu wengi Knockout, wengi walifikiri wakifika miaka 30 wangekuwa na nyumba na Gari

Kabla ya maisha kuwapiga Watu wengi Knockout, wengi walifikiri wakifika miaka 30 wangekuwa na nyumba na Gari

Mdogo angu, hukutani na mtu kwa bahati mbaya.
Huamki tu ukakutana na mtu, kuna process ambayo lazima umei initiate ili jambo lolote litokee, haijalishi kwa kujua au kwa kutokujua.

do you think watu wanafika wanapofika just as a coisedence? Every single one dreams of achievements. Ndio kitu kinatutofautisha . Na kutaka tu haitoshi, lazima kujikita kwenye mchakato, na vibration zako kwenye mchakato ndio zina determine your next move.
So Yes, nilipo hapa ni less than kile nilifikiria, nafikiri kufika mbali zaid. Eyce I will send you a screen shot of this idea am doing toka nimeifikiri 2016 nikiwa with my friend ofisn nikiwa ndio kwanza nimeanza anza kaz baada ya kutoka chuo nalipwa mshahara wa 250k kwa mwezi 😂.

Kaka, kubali kataa, unahusika kwa asilimia zote kwenye matokeo yoyote yanatokea katika mchakato ambao umeamua kuufanyia kaz. This ia the law of responsibility na ndio kitu wengi huwa tunakataa kujiambia ukwel. Huwez seriously kusema uimfie kwenye biashara halaf unambie et the unknown third party ndio anakia determinant factor ya kupenya au kukwama. Utaanzisha biashara yea inawwza kufa lakin katika kifo hicho u play part. Utaajiliwa kazin, but u still have a role to proof succesa or failure in it. Hiki wengi huwa hatu confess but deep down huwa tunaujua ukwel

Now you are talking. And this is my whole point

And this is major reason on to why people do what they do.
To have an upper hand of controll when it comes ro circumstances.
Having no controll over circumstances mdio kitu kinawafanya watu wakeshe kwa waganga, kwa mwamposa, kwenye ma research projects etc ili tu waweze kupata solution and power to controll circumstances.

Sio kwamba sikuelewi, nakuelewa sana lakini tusichokubaliana ni kuonesha kuwa kila result, mtu ndio anaamua iweje

By the way wewe si unajua marketing vizuri tu, unapofanya marketing plans na kufanya analysis, je, huwa huangalii other factors beyond your products and customers dynamics ili uweze kubashiri peformance yake ?...

Kama upo a hundred percent sure, kwa nini usiangalie product yako na mteja wako then ukaipush sokoni?...

Okey ngoja nikuulize, Leo hii umeme unasumbua, kuna mtu aliweka kuku na nyama kwenye friji vikamuharibikia na mtaji ukakata. , je, huyu unamuweka katika category gani ?.. Kwamba kashindwa kutengeneza results

Nakuelewa sana sana maana na mimi ni mtu ambaye huwa nachukua full responsibility of my failures regardless of the reasons behind.. Na pia sitaki nikubasilishe msimamo wako maana ni Mzuri sana sanaa lakini kwenye uhalisia, kesho inatabirika ila hakuna mwenye control nayo, sote tunaitengenezea mazingira iwe vile tunavyotaraji ila si mara zote huwa tunavyotaka..

Hizo efforts ulizotaja ndio kutengeneza mazingira ili results zije vile tunavyotaraji kama nilivyosema. Ila hatuna control over them
 
Kachapika kweli kweli now.
Nawaza nimkumbushe ile story tukiwa dom nahisi tamuumiza.
Anaendesha bodaboda kazi ambayo hata mtu asiyejua maana ya neno PEOPLE anaweza kuifanya
Huyo jamaa yako hana uthubutu ni watu ambao wanataka mafanikio yawafuate

Ni kweli Mungu anapanga future yetu ila bila kuwa na uthubutu utakshia kumlaumu Mungu ndo maana iman lazima iendane na matendo ambayo ni ujasiri na uthubutu

Una-degree unaendesha bodaboda fahamu kuna kitu mtu umekosa cha kwanza ni ujasiri na kutokujua thamani yake

Wako wanafanikiwa kwa kupata connection out of nowhere, wako wanaofanikiwa kwa bahati na wako wanaofanikiwa kwa ujasiri na uthubutu
Ndo mwingine unatakiwa uwe jasiri ili urithi Baraka za Mungu tofauti na hapo utaishia kumlaumu Mungu kila siku maisha yetu hayafanani
 
Nakubali Kuna Jamaa yangu katoka tak home ya 7.2Mil per year, akafukuzwa kazi akapata kazi ya take home 4.8 per year, now kaenda take home ya 30Mil per year, na huu mlolongo umetokea ndani ya miezi 5 iliyopita, na nikimuuliza anasema ni Mungu tu, ye mwenyewe haelewi amefikaje fikaje alipo, maana baada yakufukuzwa kazi ya 7.2 mil per year alihisi kukata tamaa, lkn baada yahapo kafanya interview 3 ndani ya miez 4 nazote katoboa. Nakipindi Cha nyuma kahudhuria interview kibao lkn bila mafanikio.
Mkuu kuna kipindi hicho kwenye maisha, kila unachogusa kinaenda hadi unajihisi last born wa Mungu halafu kuna hicho kipindi. Unaweza hisi dunia imekutenga

Na unakuta Cv na uwezo ni ule ule na nafasi unazopambania ni zile zile.. Ipo hivyo
 
Kiukweli kabisa sijawahi kuwa na fikra za mbele na za ukubwa huo.

Siku zotee naamini mbele yangu siijui, kwasababu mipango, matamanio, na mategemeo havina mkataba na uhalisia katika maisha.

Watu wengi wanajenga nyumba kwa kujibana na kuishi kwa taaabu muda mrefu, ni bora kuwa mpangaji wa muda mrefu mwenye akili ya uwekezaji kuliko mwenye nyumba anayeishi kwa msoto mkali wa kulipa mikopo kisa kulinda ufahari wa kumiliki nyumba [emoji23][emoji23]
Si sahihi kusema hivyo kwa sababu hata wawekezaji wanakopa na mitaji inakufa. Mungu mwenyewe huwapa watu wake. Pia tukiwa wawekezaji wote nani atanunua kwa mwingine?
 
Sikubaliani na hoja kuwa mipango ya kimaisha ya vijana wengi inaharibika kwasabb hawamhusishi ama hawamuombi Mungu. Wapo walokole ama mashekhe promax wamefika 50 bado hawana hata kitanda.

Kila mtu ana FATE yake, yaani Kila mtu kachorewa roadmap ya maisha yake na mwenyezi Mungu. Ndiyo maana akina Laizer wanaokota tanzanite yenye thamani ya mabilioni wakati wengine hata mia mbovu hamuokoti.
Kuna vitabu vingi vinavyofundisha "how to be rich" ila ukianza kusoma Biblia itakufundisha zaidi kuliko hivyo vitabu vingine
Mfalme suleiman kwenye biblia anatufundisha kuwa "mshike sana elimu usimuache aende zake

Ni point kubwa sana kila jambo unalolifanya linahitaji upate elimu ili ufanikiwe bila maarifa hauwezi kupata chochote hata uwe mlokole vipi

Pia tunamuhitaji msaada wa roho mtakatifu ili uweze kutufanyi a miujiza katika shughuli zetu uwezi kupata mafanikio bila elimu ukihitaji msaada wa roho mtakatifu

Soma yohana 14 :16
16 Nami nitam womba Baba, naye atawapeni Msaidizi mwingine akae nanyi siku zote. 17 Huyo ndiye Roho wa Kweli ambaye watu wasioamini hawawezi kumpokea.

Soma yohana 15:5
Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi; anayekaa ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa matunda mengi sana; maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya lo lote.

Nahitimisha kwa kusema mafanikio sio bahati wenzetu ngozi nyeupe ili walishafahamu muda mrefu kabla hajaanzisha jambo tayari elimu sisi waafrika tumejikita kwenye upambanaji kutaka kupata pesa kwa kitu usichokijua kwa mapana yake

Siyo sahihi kuaminisha watu kwamba wanaofanikiwa ni wale wa Mungu tu

Wakati na bahati huwapata wote

Na kuna maelfu ya walokole ni Masikini wa kutupwa

Kufanikiwa ni jitihada na bahati
 
Mkuu kuna kipindi hicho kwenye maisha, kila unachogusa kinaenda hadi unajihisi last born wa Mungu halafu kuna hicho kipindi. Unaweza hisi dunia imekutenga

Na unakuta Cv na uwezo ni ule ule na nafasi unazopambania ni zile zile.. Ipo hivyo
Yeah nikweli mkuu, kuna muda Mungu tu anaamua kusimama upande wamtu, nahio ndio tunaita bahati tu.
 
Kuna vitabu vingi vinavyofundisha "how to be rich" ila ukianza kusoma Biblia itakufundisha zaidi kuliko hivyo vitabu vingine
Mfalme suleiman kwenye biblia anatufundisha kuwa "mshike sana elimu usimuache aende zake

Ni point kubwa sana kila jambo unalolifanya linahitaji upate elimu ili ufanikiwe bila maarifa hauwezi kupata chochote hata uwe mlokole vipi

Pia tunamuhitaji msaada wa roho mtakatifu ili uweze kutufanyi a miujiza katika shughuli zetu uwezi kupata mafanikio bila elimu ukihitaji msaada wa roho mtakatifu

Soma yohana 14 :16
16 Nami nitam womba Baba, naye atawapeni Msaidizi mwingine akae nanyi siku zote. 17 Huyo ndiye Roho wa Kweli ambaye watu wasioamini hawawezi kumpokea.

Soma yohana 15:5
Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi; anayekaa ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa matunda mengi sana; maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya lo lote.

Nahitimisha kwa kusema mafanikio sio bahati wenzetu ngozi nyeupe ili walishafahamu muda mrefu kabla hajaanzisha jambo tayari elimu sisi waafrika tumejikita kwenye upambanaji kutaka kupata pesa kwa kitu usichokijua kwa mapana yake
Mafanikio madogo madogo yanahitaji jitihada, elimu sahihi na fursa sahihi

Lakini yale mafanikio makubwa makubwa YANAHITAJI BAHATI
 
Unafikiri hao vijana waliopanga na wanaopanga kuwa na maisha bora wakifika miaka 30 hawamuombi huyo Mungu?

Pamoja na kumuomba huyo Mungu vijana hao bado hawafanikiwi..!!

Automatically Mungu huyo hana msaada wowote kwenye maisha ya binadamu.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Msaada wake kwako hautegemei unamuomba au humwombi. Unamtambua au haumtambui.
Ukishatimiza alichokuletea imeisha
 
Back
Top Bottom