Kabla ya maisha kuwapiga Watu wengi Knockout, wengi walifikiri wakifika miaka 30 wangekuwa na nyumba na Gari

Kabla ya maisha kuwapiga Watu wengi Knockout, wengi walifikiri wakifika miaka 30 wangekuwa na nyumba na Gari

Mimi hainiumi wewe kusema hakuna Mungu
Ila tofauti yangu mimi na wewe ni kwamba mtu akisema hamna Mungu simshambulii

We sasa mtu akisema Mungu yupo unakua mbogo
Kwani mimi nakushambulia, Au natoa maoni yangu kama wengine wanavyotoa maoni yao?

Wewe unataka kila mtu atoe maoni kama unavyo fikiria wewe tu?

Au unataka kila mtu akubali na kuamini kile unacho amini wewe tu?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Nini chanzo cha jitihada kwa mtu?
Nini chanzo cha msukumo wa jitihada kwati kufanya jambo fulani alafu mwingine akakosa huo msukumo?

Mimi naamini kila jambo Mungu ndiye mratibu na mshukiwa namba moja. Alfajiri na omega. Mweza wa yote mazuri au Mabaya, makubwa au madogo.

Ukishakuwa na attitude kuwa Mungu ni wamazuri pekee hapo ndio mwanzo wa kutojua maisha ni nini.
Mungu ni wa yote. Mazuri na mabaya.
Chanzo ni exposure, education na inspiration from motivational speakers and others.
Ndiyo maana waweza ona kwamba, aina ya watu waliokuzunguka waweza kukupa hatua Moja mbele au kinyume chake.
 
Umeaona sasa unavyotumia nguvu kubwa kujifariji ndo maana nilikuambia neno lako sio sheria

Usipende kuishi kwa kujifariji tatizo lako kubwa wewe upo desprate
Mungu yupo na anakupenda
Kuna sehemu nimesema neno langu ni sheria?

Tatizo lako wewe unapata kimuhemuhe na komenti zangu nikisema huyo Mungu wako hayupo.

Huoni kwamba wewe mwenyewe unatumia nguvu kubwa kuniambia na kuniaminisha huyo mungu wako ananipenda?

Huoni na wewe unatumia nguvu kubwa kutaka kila mtu ajue huyo mungu wako anapenda kila mtu?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Sijui ndio ridhki ama ndio zali, bahati, uwezo binafsi au nyota ya mtu..

Ila nilichokisoma kwenye life, unahitaji mtu wa kukuinua maana hata Mungu hashuki chini kuja kukuinua ila hutumia watu.

Nimekutana na watu ambao wapo hardworking, passionate, God fearing, talented and skilled yaani wana kila sifa za kutoboa ila hawajapata sehemu na watu sahihi wa kuwainua

Halafu kuna wale ambao ni average tu na wengine ni wavivu pasee kama hawa tunaokutana nao kwenye ofisi za umma lakini wanatoboa kwa sababu wapo kwenye system lakini pia wana back up

Kwa hiyo maisha ukiyafikiria kiundani utakosa majibu ila cha msingi uishi tu
Umeweza kugusa na kusadifu huu msamiati ama methali. Làkini yote kwa yote ni kutenda mema. Màana hata hao wavivu wasio na sifa walioko humu bado hawajafika. Namaanisha anytime wanaweza kupatwa na lolote (siwaombei) mpk pale watapolipa gharama.
 
Itakuwa alikuwa na big picture kwenye akili yake kipindi hicho.
Miaka 9 tangu amalize university hana ajira. Bodaboda tena huko kijijini
Hata ivo alijua , hizo 80M na 100M zilikuwa za kufikirika.
M amjadili kana kwamba aliwekewa mezani halafu akachomoa.
Kwani huwa hamsikii wanawake wengi wakisema siwezi kuolewa na Fulani na mwisho wa siku unakuta kaolewa.
Style ya sizitaki mbichi Fulani hivi..
 
Ecclesiastes 9:11 New Living Translation (NLT)
I have observed something else under the sun. The fastest runner doesn’t always win the race, and the strongest warrior doesn’t always win the battle. The wise sometimes go hungry, and the skillful are not necessarily wealthy. And those who are educated don’t always lead successful lives. It is all decided by chance, by being in the right place at the right time.
 
Talk is cheap bruh, siku ukipitia chagamoto na mwenye nyumba anatishia kuifukuza familia yako ndio utelewa kwanini watu wana amani kwa kujenga nyumba zao za kuishi tu hata kama nyumba iko Chanika mwisho.
Iko sahihi mkuu.
Mara nyingi umuhimu wa kumiliki nyumba hapa bongo hauwezi onekana Kwa mtu asie na familia.
Ila ukiwa na familia lazima uwaze Leo na kesho Kwa ajili ya familia Yako.
Je, familia Yako itakua wapi pale utakapokosa uwezo wa kizalisha (yaani mgonjwa Kwa muda mrefu ama aliepata ulemavu kiasi Cha kushindwa kufanya kazi), na zaidi sana utakapotangulia mbele za haki.
 
Kuna kundi kubwa la vijana linasali na kumsifu huyo Mungu lakini bado maisha yao ni pangu pakavu tia mchuzi..

Hakuna mpango wa Mungu kwenye mafanikio ya binadamu.

Sera mbovu, siasa uchwara, mazingira ya rushwa, ujinga, elimu mbovu, serikali za hovyo ndio chanzo cha umaskini na ukosefu wa fursa kwa vijana wengi hasa barani Afrika.





Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Sisi wa Hili kundi tumeanza kumsifu Mungu tukiwa tullishapoteza mwelekeo wa ki Mungu na kimaisha aidha sisi wenyewe ama wazazi wetu, Kwa kuishi mbali na maelekezo ya Mungu ama kufanya maovu makubwa.
Hapa tunahitaji rehema za Mungu Kwa ajili ya maisha ya baadae(maisha baada ya kufa) na neema ya kutuwezesha kuishi hapa duniani maisha yanayobaki.
Hata hivo , tuna furaha na amani tele Kwa kiwango Cha maisha tunachoishi.
Kwetu haya ni mafanikio makubwa,
Maana Mungu wetu ametufundisha kuwa navyo na kupungukiwa, kushiba na kuwa na njaa nk.nk.nk.
 
Kuna kundi kubwa la vijana linasali na kumsifu huyo Mungu lakini bado maisha yao ni pangu pakavu tia mchuzi..

Hakuna mpango wa Mungu kwenye mafanikio ya binadamu.

Sera mbovu, siasa uchwara, mazingira ya rushwa, ujinga, elimu mbovu, serikali za hovyo ndio chanzo cha umaskini na ukosefu wa fursa kwa vijana wengi hasa barani Afrika.





Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Either,
Sera mbovu, rushwa, siasa uchwara, elimu ndogo na mengine mengi uliyotaja kama sababu za kuzuia mafanikio, ni matokeo ya taifa kuwa na kundi kubwa la watu wasiokuwa na hofu ya Mungu.
 
Back
Top Bottom