Quaresma Fai
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 590
- 630
Jamani, ila JK alitegemea..Marais wote nchi yetu hawakutegemea kama wangekuwa marais. Na wale waliokuwa na uhakika wa kuwa Rais hawakuwa.
Maisha sio mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani, ila JK alitegemea..Marais wote nchi yetu hawakutegemea kama wangekuwa marais. Na wale waliokuwa na uhakika wa kuwa Rais hawakuwa.
Maisha sio mchezo
Kuna circumstances chache ambazo mambo huwa unavyotegemea, hasa ukisimama Kwa nguvu ya Imani.Marais wote nchi yetu hawakutegemea kama wangekuwa marais. Na wale waliokuwa na uhakika wa kuwa Rais hawakuwa.
Maisha sio mchezo
Kweli maua, njoo inbox tuyajenge.AchA utani
Kwani mimi nakushambulia, Au natoa maoni yangu kama wengine wanavyotoa maoni yao?Mimi hainiumi wewe kusema hakuna Mungu
Ila tofauti yangu mimi na wewe ni kwamba mtu akisema hamna Mungu simshambulii
We sasa mtu akisema Mungu yupo unakua mbogo
Kama huwezi kuingia inbox kwangu namimi siwezi kwako hii imeendraaKweli maua, njoo inbox tuyajenge.
Chanzo ni exposure, education na inspiration from motivational speakers and others.Nini chanzo cha jitihada kwa mtu?
Nini chanzo cha msukumo wa jitihada kwati kufanya jambo fulani alafu mwingine akakosa huo msukumo?
Mimi naamini kila jambo Mungu ndiye mratibu na mshukiwa namba moja. Alfajiri na omega. Mweza wa yote mazuri au Mabaya, makubwa au madogo.
Ukishakuwa na attitude kuwa Mungu ni wamazuri pekee hapo ndio mwanzo wa kutojua maisha ni nini.
Mungu ni wa yote. Mazuri na mabaya.
Kuna sehemu nimesema neno langu ni sheria?Umeaona sasa unavyotumia nguvu kubwa kujifariji ndo maana nilikuambia neno lako sio sheria
Usipende kuishi kwa kujifariji tatizo lako kubwa wewe upo desprate
Mungu yupo na anakupenda
Majina mengine bhanaChanzo ni exposure, education na inspiration from motivational speakers and others.
Ndiyo maana waweza ona kwamba, aina ya watu waliokuzunguka waweza kukupa hatua Moja mbele au kinyume chake.
Kumbukumbu la torati imeelezea baraka na si mafanikio.Kumbukumbu la Torati 28 haielezi hivyo mkuu
Tunazungumzia kufanikiwa kimwili kwa sababu kwa sasa sisi ni mwili.
Maua mbona umefunga inbox..tunayejengaje Sasa.Kama huwezi kuingia inbox kwangu namimi siwezi kwako hii imeendraa
Fungua yakoMaua mbona umefunga inbox..tunayejengaje Sasa.
Karibu maua.Fungua yako
Umeweza kugusa na kusadifu huu msamiati ama methali. Làkini yote kwa yote ni kutenda mema. Màana hata hao wavivu wasio na sifa walioko humu bado hawajafika. Namaanisha anytime wanaweza kupatwa na lolote (siwaombei) mpk pale watapolipa gharama.Sijui ndio ridhki ama ndio zali, bahati, uwezo binafsi au nyota ya mtu..
Ila nilichokisoma kwenye life, unahitaji mtu wa kukuinua maana hata Mungu hashuki chini kuja kukuinua ila hutumia watu.
Nimekutana na watu ambao wapo hardworking, passionate, God fearing, talented and skilled yaani wana kila sifa za kutoboa ila hawajapata sehemu na watu sahihi wa kuwainua
Halafu kuna wale ambao ni average tu na wengine ni wavivu pasee kama hawa tunaokutana nao kwenye ofisi za umma lakini wanatoboa kwa sababu wapo kwenye system lakini pia wana back up
Kwa hiyo maisha ukiyafikiria kiundani utakosa majibu ila cha msingi uishi tu
Hata ivo alijua , hizo 80M na 100M zilikuwa za kufikirika.Itakuwa alikuwa na big picture kwenye akili yake kipindi hicho.
Miaka 9 tangu amalize university hana ajira. Bodaboda tena huko kijijini
Duh!!!!Mafanikio madogo madogo yanahitaji jitihada, elimu sahihi na fursa sahihi
Lakini yale mafanikio makubwa makubwa YANAHITAJI BAHATI
Iko sahihi mkuu.Talk is cheap bruh, siku ukipitia chagamoto na mwenye nyumba anatishia kuifukuza familia yako ndio utelewa kwanini watu wana amani kwa kujenga nyumba zao za kuishi tu hata kama nyumba iko Chanika mwisho.
Sisi wa Hili kundi tumeanza kumsifu Mungu tukiwa tullishapoteza mwelekeo wa ki Mungu na kimaisha aidha sisi wenyewe ama wazazi wetu, Kwa kuishi mbali na maelekezo ya Mungu ama kufanya maovu makubwa.Kuna kundi kubwa la vijana linasali na kumsifu huyo Mungu lakini bado maisha yao ni pangu pakavu tia mchuzi..
Hakuna mpango wa Mungu kwenye mafanikio ya binadamu.
Sera mbovu, siasa uchwara, mazingira ya rushwa, ujinga, elimu mbovu, serikali za hovyo ndio chanzo cha umaskini na ukosefu wa fursa kwa vijana wengi hasa barani Afrika.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Either,Kuna kundi kubwa la vijana linasali na kumsifu huyo Mungu lakini bado maisha yao ni pangu pakavu tia mchuzi..
Hakuna mpango wa Mungu kwenye mafanikio ya binadamu.
Sera mbovu, siasa uchwara, mazingira ya rushwa, ujinga, elimu mbovu, serikali za hovyo ndio chanzo cha umaskini na ukosefu wa fursa kwa vijana wengi hasa barani Afrika.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app