Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 561
- 997
Kabla ya Mungu kumuinua mtu umpitisha kipindi cha kutengwa(isolation)
Katika bibilia Yesu kristo kabla ajaanza hudumu ya injili alichukuliwa na malaika kwenda jangwani(isolation) na kufunga siku 40 na kipindi hicho alikuwa akijaribiwa.
Musa kabla ajanza huduma pia naye Mungu alimtenga kwa siku 40 baada ya hapo ndipo akaanza kuwaongoza wana waisrael.
Kama upo kipindi una dalili hizi jua upo kipindi cha isolation.
Watu kuanza kuondoka kwenya maisha yako bila sababu, Mungu uondoa watu ambao sio sahihi kwako ambao awatakusaidia kwenye hatua yako mpya.
Kupata amani ambayo aielezeki , amani hii inakuwa muda wote atakama hali yako ya kimaisha haipo sawa, uwepo wa amani ni kwamba Mungu yupo pamoja na wewe.
Wafilipi 4:7
Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.
Kupata heshima na favour, favour ikiwa na maana kupendelewa, mfano unaweza enda sokoni au sehemu yoyote watu kukupa zaidi ya kile ulichonunua, watu kukuchangamkia.
Watu wana kuhudumia kwa heshima kubwa kila unapoenda ingawa inaweza kuwa upo kawaida tu.
Kabla ya Mungu kukupa heshima na favour kubwa uanza kukuonesha kwa udogo.
Kuwa na njaa ya kumjua Mungu, kutamani kuomba, kusikiliza mafundisho, meditation hii Mungu utumia kujenga uwezo wako wa ufahamu.
Baadhi ya milango yako kufungwa gafra inaweza kuwa kazi, mahusiano , fursa, unaweza jaribu kufungua lakini hakuna kinachotokea, Mungu ufunga hizo fursa sababu ya kuandaa fursa mpya.
Kupata majaribio ya kiimani, hii Mungu anakupima kama kile alichobadilisha umekishika vizuri.
Kama kuna kipindi unakuwa kama una mawazo, kuchanganyikiwa, vitu kuenda tofauti hiyo jua ni adui anachelewesha kuenda hatua inayofuata.
Kupoteza mipango yako, ndoto hii Mungu ana kuandaa kwa jambo jipya ambalo ulitarajii,
Isolation ni kipindi ambacho Mungu anakutenga na watu, mazingira ili uweze kusikia sauti yake vizuri.
Kama unapitia mambo hayo basi haupo nyuma, Mungu aku adhibu bali Mungu ana kuandaa kwa kitu kikubwa katika maisha yako.