Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi

Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,

Mungu huyu

Ibariki Tanzania
Hafi mtu,Mshindwe katika Jina la Yesu
 
Hujajibu swali

Kungoa kucha ndio weledi?
Kuna waropokaji wenzangu walau ninadhani kuna wasaa nina moral obligation wa kuwaelezea madhara ya comments zao (not many) tuweke mipaka.

Katika hao watu wewe haupo kwenye list yangu, inawezekana una concern ya msingi.

Kun’goana kucha, kweli sio weledi, ninakubaliana na wewe.

Iła ukuwadi wa maCCM ndani ya JF kila mtu asifie na kunanga kwa mipaka ambayo anajua mwenyewe.

Sasa kwakuwa na wewe ni kuwadi wa CCM go figure what is wrong or right bila ya kuuliza wengine,

Mwenzako FaizaFoxy yakimshinda anazima data.
 
Sisi tunasubiria kwa hamu kubwa tufanye sherehe.
 
Ningekua Abdul mtoto wa mkojani ningelopoka"Mamaweeeh hebu waachie linchi lao mama ,kalee wajukuu wako,sitaki kukupoteza kabisa"

Tatizo kuu ni kuutaka upili ambao waliompa ukwanza hawataki achukue upili!!

Leo akitangaza kujiengua kwenye mbio,utasikia chawa wakisema upya"mama mtu safi sio mroho wa madaraka huyu mama"

Nawaza!
 
Mi nachoelewa July Kuna mambo yatatokea ila sijui km na hili litakuwa ni miongoni Kwa hayo, ila hili sijui exactly lini litatukia!🙄


View: https://youtu.be/ZI-wLZGmSGY?si=-SkVaaW5RHLWm1Gw
Bado natafakati nn alitakiwa afanye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…