Samia kaboresha maslai ya wafanyakazi, ameruhusu Uhuru wa wajinga na wapumbavu kumtukana na kumkosoa, Magufuli mlikuwa hamthubutu kumkosoa,
Samia serikali yake imekuwa ya uwazi na ukweli, magufuli wenu mpk leo hatujajua makusanyo ya hela za vitambulisho vya umachinga zilipatikana sh. Ngapi na zilienda wapi,
Awamu ya Sita hatusikii Tena habari za kutekana,Wala kupeana makesi ya hovyo,
Nyie chuki yenu kwa huyo mama Ni juu ya imani yake tu, maana hakuna lingine, hii Nchi Kuna mijitu Ina chuki za udini na mfumo dume na ukabila