Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Unaongea kwa kireeefu kama unacho cha kuongea.Katika marais wote niliowashuhudia katika utu uzima wangu sijawahi kushuhudia rais anayeongea kwa kifupi kama huyu wa awamu ya sita. Anaongea kwa ufupi na mara tu yale aliyokusudia kuwasilisha yakiisha anamaliza hotuba yake.
Kwa kuwa nilizoea kusikia hotuba ndeefu za marais waliotangulia nilikua najua huenda ni taratibu za kiitifaki zinawalazimisha Kutoa hotuba ndefu. Kumbe inaoneokana ni utashi tu wa mtu binafsi na hobi binafsi ya kupenda kuzungumza mambo kwa kirefu!!
Mitatu minini mkuu mihotuba au!?Bado mi tatu
Mkuu mbona ni kama una hasira na mama binafsi sioni kama kuna ubaya maana nilistushwa na ufupi wa hotuba za aliyekuwa mgombea urais chadema 2015 pia ccm walizoea kumcheka na kumdihaki kwamba hana cha kusema kumbe walikuwa hawajui kama mimi. Kupitia mama ndo nimejua kwamba kumbe ni jambo la kawaidaAsante kwa kuliona hili huyu Madam Rais ndio kawaida yake hajaanza leo hata aikiwa makamu na kwingineko muda kwake ni mali. Japo kwa muktadha huu inabidi atafakari yapo mambo nje na bandari sasa kama hajipangi kwa hotuba shibishi kwa kero za wananchi akajikita kwenye kero chache akaacha zingine kama mfumuko wa bei na mengineyo ajipime kama anatoshea.
Ndio atajua hajui kuwa Magufuli alikuwa mwema ila alijivika kengele ili kutimiza majukumu ya uwajibikaji.
Kasoro zipo ila kukemea na kufuatilia, kutolea majibu haraka kwa kero ndio uongozi.
Tunashukuru na yeye yamkute ambayo hakujua akiwa makamu, aone ugumu wa urais na ubwete wa umakamu rais
Ina maana wewe ulikkuwepo tangu uongozi wa Awamu ya Kwanza??Katika marais wote niliowashuhudia katika utu uzima wangu sijawahi kushuhudia rais anayeongea kwa kifupi kama huyu wa awamu ya sita. Anaongea kwa ufupi na mara tu yale aliyokusudia kuwasilisha yakiisha anamaliza hotuba yake.
Kwa kuwa nilizoea kusikia hotuba ndeefu za marais waliotangulia nilikua najua huenda ni taratibu za kiitifaki zinawalazimisha Kutoa hotuba ndefu. Kumbe inaoneokana ni utashi tu wa mtu binafsi na hobi binafsi ya kupenda kuzungumza mambo kwa kirefu!!
Samia kaboresha maslai ya wafanyakazi, ameruhusu Uhuru wa wajinga na wapumbavu kumtukana na kumkosoa, Magufuli mlikuwa hamthubutu kumkosoa,kwani nimesema msukuma mwenzetu ni standard? Labda Nyerere
Eti kupeana makesi ya hovyo,wewe upo nchi gani? Huoni watu wanavyo pata aibu mahakama ya uhujumu uchumi huko. Kwenye kesi ya UgaidiSamia kaboresha maslai ya wafanyakazi, ameruhusu Uhuru wa wajinga na wapumbavu kumtukana na kumkosoa, Magufuli mlikuwa hamthubutu kumkosoa,
Samia serikali yake imekuwa ya uwazi na ukweli, magufuli wenu mpk leo hatujajua makusanyo ya hela za vitambulisho vya umachinga zilipatikana sh. Ngapi na zilienda wapi,
Awamu ya Sita hatusikii Tena habari za kutekana,Wala kupeana makesi ya hovyo,
Nyie chuki yenu kwa huyo mama Ni juu ya imani yake tu, maana hakuna lingine, hii Nchi Kuna mijitu Ina chuki za udini na mfumo dume na ukabila
si unaona hapo mwisho kaingiza udini?bwege huyoEti kupeana makesi ya hovyo,wewe upo nchi gani? Huoni watu wanavyo pata aibu mahama ya uhujumu uchumi huko. Kwenye kesi ya Ugaidi
Sema fundi wa maneno ya mizahamizaha na less serious issues.Fundi wa maneno kikwete Bwana
Umesema yote[emoji122][emoji122]Samia kaboresha maslai ya wafanyakazi, ameruhusu Uhuru wa wajinga na wapumbavu kumtukana na kumkosoa, Magufuli mlikuwa hamthubutu kumkosoa,
Samia serikali yake imekuwa ya uwazi na ukweli, magufuli wenu mpk leo hatujajua makusanyo ya hela za vitambulisho vya umachinga zilipatikana sh. Ngapi na zilienda wapi,
Awamu ya Sita hatusikii Tena habari za kutekana,Wala kupeana makesi ya hovyo,
Nyie chuki yenu kwa huyo mama Ni juu ya imani yake tu, maana hakuna lingine, hii Nchi Kuna mijitu Ina chuki za udini na mfumo dume na ukabila
Kwa hiyo haya yanahusiana nini na urefu au ufupi wa hotuba!?Samia kaboresha maslai ya wafanyakazi, ameruhusu Uhuru wa wajinga na wapumbavu kumtukana na kumkosoa, Magufuli mlikuwa hamthubutu kumkosoa,
Samia serikali yake imekuwa ya uwazi na ukweli, magufuli wenu mpk leo hatujajua makusanyo ya hela za vitambulisho vya umachinga zilipatikana sh. Ngapi na zilienda wapi,
Awamu ya Sita hatusikii Tena habari za kutekana,Wala kupeana makesi ya hovyo,
Nyie chuki yenu kwa huyo mama Ni juu ya imani yake tu, maana hakuna lingine, hii Nchi Kuna mijitu Ina chuki za udini na mfumo dume na ukabila
Ndio nilikuwepo ingawa sikuwa mtu mzima sana but nilikuwa nasikiliza hotuba mbona ni kama swali lako linaashiria unajua umri wangu au limelenga nini!?Ina maana wewe ulikkuwepo tangu uongozi wa Awamu ya Kwanza??
Mbona kila kitu mnasingizia Katiba Mpya? Katiba mpya haiwezi kukupa kila kitu. Kwani Kenya hapa wenye Katiba mpya ya mwaka 2010 wamemaliza matatizo yao? Au linhanisha Trump aliyekuwa anatawala kupitia Twitter na Joe Biden ambaye anarumia Twitter kwa mambo machacheInavyoonekana mambo yanafanyika kwa utashi wa Rais aliyepo.
Itakuwa hakuna muongozo maalum kwa mujibu wa Katiba.
Nahisi generations ya karibuni haikuwahi kusikia wala kufuatilia hotuba za mwinyi. Alikua fundi yule kwa trivial speech'sFundi wa maneno kikwete Bwana
Jamaa hakua na mbwembwe na ndio maana haongelew sanaNahisi generations ya karibuni haikuwahi kusikia wala kufuatilia hotuba za mwinyi. Alikua fundi yule kwa trivial speech's
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Kweli kinacho wasumbua ni kutokujiamini.si unaona hapo mwisho kaingiza udini?bwege huyo
Mbona kila kitu mnasingizia Katiba Mpya? Katiba mpya haiwezi kukupa kila kitu. Kwani Kenya hapa wenye Katiba mpya ya mwaka 2010 wamemaliza matatizo yao? Au linhanisha Trump aliyekuwa anatawala kupitia Twitter na Joe Biden ambaye anarumia Twitter kwa mambo machache
Watanzania ni wagumu kwa kudikiri
Yule muuwaji wa Askari wetu alikuwa Mtanzania na sio msomali. Usomali ni watu wa taifa la Somalia, ukitaka kujua kabila lake, alikuwa MAJERTAINHuyu hata swala la kuuwawa kwa askari 4 na yule Msomali sikuwahi kumsikia akiliongelea kabisa.
Au Mimi ndiye linipita bila kusikia?!
Nilitaka nifahamu tu...kwani sisi wengine upo wakati tulikuwa tunasafiri naye kikazi..Ndio nilikuwepo ingawa sikuwa mtu mzima sana but nilikuwa nasikiliza hotuba mbona ni kama swali lako linaashiria unajua umri wangu au limelenga nini!?