Kabla ya Samia kuwa Rais nilidhani ni lazima Rais wa nchi atoe hotuba ndeefu

Raisi Ana Mambo mengi ktk nchi, lazima aongee muda mrefu kugusa na kufafanua Mambo mbalimbali yanayotokea nchini

Raisi kuwa na hotuba fupi ni kigezo Cha udhaifu.
Unaongelea ajenda ya msingi tu vipi hayo mengine utatenga lini muda kuyaongea kwa wananchi?
Wananchi wanahitaji kusikia Mambo mengi kutoka kwa Raisi wao kuhusu umeme, Maji, miundombinu, gharama za maisha, afya nk
 
Then amwage mitusi, halafu akimaliza apige push ups, ale mahindi ya kuchoma hadharani na kupiga ngoma.?

Huu ujinga tuliuzika Chato tarehe 27/03/ 21, hautarudi tena Tanzania
 
Then amwage mitusi, halafu akimaliza apige push ups, ale mahindi ya kuchoma hadharani na kupiga ngoma.?

Huu ujinga tuliuzika Chato tarehe 27/03/ 21, hautarudi tena Tanzania
Hayo uliyotaja hayajawahi kufanyika ktk hotuba moja
Hata hivyo yaliwafurahisha wafuasi wake

Ukimpenda mtu utafurahi kusikia anaongea muda mrefu,

Ukimchukia mtu hata aongee Nini, kwa namna gani utaona kakosea tu
 
Mkuu nimechoka sana!! Hivi kutoa hotuba ndefu fupi kinahusiana na mtu kuwa shallow - sio shollow. Haya bwana
Mahusiano yapo sana tu. Mtu asiye na materials kichwani huchukua tahadhari ya kuongea maneno machache kwa sababu hana hakika na anachoongea na anaogopa kukosea. Tazama speech na Nyerere, Mbowe na Lissu. Wanajiamini wanatiririsha vitu mpaka unasisimka.
 
AKILI YA KUONGEA MENGI ANAYO? KAMA HANA USITEGEEMEE KUONA ANAONGEA SANA,, ATAONGEA NN NA HAJUI CHA KUONGEA.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kaaazi kweli kweli!

[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Maneno mengi halafu pumba tupu au ya yakujirudia rudia..enzi ya jiwe unaweza kubet ktk hotuba zake Maneno kama sgr,elimu bure,mafisadi lazima yazungumze hata kama amealikwa kwenye mambo ya kidini.

Hotuba inatakiwa ijikite katika muktadha wa tukio lililopo kwanza then kujibu mambo machache yenye sintofahamu ktk jamii tena kwa kuchomekea sasa kila siku unazungumzia neno moja tu hilo hilo watu wanakuchoka wanakuwa hawana hamu ya kukusikiliza.
 
Flash ya 5mb unataka iweke movie ya 1gb
Mwache apumzike Bibi yetu
Hotuba inategemea kuna yapi yakusema,, kuna siku kaongea masaa matatu huyu kama fidel Castro [emoji23][emoji23]
 
Flash ya 5mb unataka iweke movie ya 1gb
Mwache apumzike Bibi yetu

[emoji23][emoji23][emoji23]Ikulu ni mzigo kwa mtu mkweli kweli kweli sio mahali pa kukimbilia, kuna nyanga ngumu sana pale, hataki kukamua madesa anatarajia nini?
 
AKILI YA KUONGEA MENGI ANAYO? KAMA HANA USITEGEEMEE KUONA ANAONGEA SANA,, ATAONGEA NN NA HAJUI CHA KUONGEA.
Yule kichaa alikuwa anaongea Nini zaidi ya Matusi na uongo na kusifia wake za watu tu....
 
Bibi hata kunyanyua mdomo kazi..anawaza urojo tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…