Of course mimi wakati mwingine nilikuwa nachoshwa sana na mahotuba marefu yaani unasinzia mpaka unaamka lakini unakuta katika yoote aliyoongea linalohitajika na mawili matatu tu sasa haya mengine ya kazi gani mf mtu anaanza kukusimulia historia mara stori ya nchi fulani mara majigambo mara nn hii ilikuwaga inaniboa sana. Ukweli ni kwamba yapo mazingira ambayo raisi ni muhimu ahutubie kwa urefu hasa akiwa ana address mambo in general au anaelezea maono yake na labda kama kuna mambo ameamua kuyafanyia ufafanuzi lakini sio kila wakati