Kabla ya sasa hivi tulishwahi na Waziri wa Fedha Mzanzibari kwenye muungano?

Kabla ya sasa hivi tulishwahi na Waziri wa Fedha Mzanzibari kwenye muungano?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
458
Reaction score
843
Kwa nijuavyo, hatujawahi kuwa na waziri wa fedha mzenj tangia Nyerere hadi Magu.

Najua Fedha si suala la muungano huenda ndiyo maana wote wenye akili timamu waliamua kutokuwa na mawaziri wa fedha wazenj.

Je, ilikuwa ni ubaguzi, upendeleo, au mahitajio ya katiba ya JMT?

Imekuwaje Samuya akatuletea mzenj mwenzake tofauti na wenzake?
 
Kuna kile kijikauli kao ka uchokozi wanasema Mzanzibari ni Mtanzania ila sio kila Mtanzania ni Mzanzibari sijui unakajua kale kamsemo kao ka kichoko zi ***** zi? Sasa ndio wanapita humo humo kwamba Mzanzibari ana haki zote ambazo Mtanzania anazo ila sio kila Mtanzania ni Mzanzibari, kwa hio wanatembelea kibwebwe cha Utanzania sio Uzanzibar
 
Kwa nijuavyo, hatujawahi kuwa na waziri wa fedha mzenj tangia Nyerere hadi Magu. Najua. Fedha si suala la muungano huenda ndiyo maana wote wenye akili timamu waliamua kutokuwa na mawaziri wa fedha wazenj. Je, ilikuwa ni ubaguzi, upendeleo, au mahitajio ya katiba ya JMT? Imekuwaje Samuya akatuletea mzenj mwenzake tofauti na wenzake?
Gentleman,
Licha ya hoja yako kua nonsense, ya kibaguzi na yenye upotoshaji na unafiki mwingi ndani yake,

Zakia Meghji alikua miongoni mwa mawaziri muhimu sana katika wizara mbalimbali ndani ya serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania, ikiwa ni pamoja na kua waziri wa mali asili na utalii, lakini pia alikua waziri wa fedha, aliatekeleza wajibu wake kwa bidii na weledi wa kiwango cha juu sana 🐒
 
Ni kweli kwa machawa ila kwa wenye akili hayo yote unayosema ni upuuzi na uchawa mtupu.
 
mnafanya kosa kubwa sana, hakuna kitu kama mzanzibari na mtanganyika bali kuna muslims vs the rest na siku mtalielewa hilo “fumbo” ndiyo siku mtakayopata uhuru wa kweli i.e muslims wote ni mali zanzibar na wako upande wa wazanzibari no matter what, ulishawahi labda kumsikia muslim wa bara akihoji chochote popote khs zanzibar raisi akiwa muslim? …
 
Kwa nijuavyo, hatujawahi kuwa na waziri wa fedha mzenj tangia Nyerere hadi Magu. Najua. Fedha si suala la muungano huenda ndiyo maana wote wenye akili timamu waliamua kutokuwa na mawaziri wa fedha wazenj. Je, ilikuwa ni ubaguzi, upendeleo, au mahitajio ya katiba ya JMT? Imekuwaje Samuya akatuletea mzenj mwenzake tofauti na wenzake?
Salum saada mkuya aliwahi kuwa waziri wa fedha kipindi Cha JAkaya
 
mnafanya kosa kubwa sana, hakuna kitu kama mzanzibari na mtanganyika bali kuna muslims vs the rest na siku mtalielewa hilo “fumbo” ndiyo siku mtakayopata uhuru wa kweli i.e muslims wote ni mali zanzibar na wako upande wa wazanzibari no matter what, ulishawahi labda kumsikia muslim wa bara akihoji chochote popote khs zanzibar? …
Acha udini, Kuna waislam kibao wanaongelea Tanganyika ambayo haipo
 
Acha udini, Kuna waislam kibao wanaongelea Tanganyika ambayo haipo

nakuhakikishia hakuna, na siku wakifanya hivyo ni pale raisi wa tanzagiza anapokuwa siyo muslim, na hapo sasa wanaungana na mabosi wao wa zanzibar kulalamikia “kero” za muungano.

tatizo hamuelewi labda kinachoendelea kama hamuelewi historia kamwe hamuwezi kujikomboa kwani adui anaijua historia ila ninyi ndiyo mko in denial au labda hata hamuielewi historia …
 
Mfano mzuri ni Fatuma Karume wa Magufuli na huyu Fatuma Karume wa Kizimkazi.Au Faizafoxy wa Magufuli na huyu aliyefariki.
 
Mfano mzuri ni Fatuma Karume wa Magufuli na huyu Fatuma Karume wa Kizimkazi.Au Faizafoxy wa Magufuli na huyu aliyefariki.

wengi hawaelewi its not even about chadema vs ccm ni islamists vs the rest siku wakija kulijua hilo kama watakuwa hawajachelewa ndiyo ukombozi wa kweli watakuwa wameupata.

wengi wa bara ni naive wanafikiri na kuamini kwamba muslims wa bara wako pamoja nao against zanzibar, wanaota na kujidanganya, hawajiulizi kwa nini zanzibar is so powerful huku bara? nani anawapa hiyo power huku bara? …
 
wengi hawaelewi its not even about chadema vs ccm ni islamist vs the rest siku wakija kulijua hilo kama watakuwa hawajachelewa ndiyo ukombozi wa kweli watakuwa wameupata.

wengi wa bara ni naive wanafikiri na kuamini kwamba muslims wa bara wako pamoja nao against zanzibar, wanaota na kujidanganya, hawajiulizi kwa nini zanzibar is so powerful huku bara? nani anawapa hiyo power huku bara? …
Slogan ni ileile..."ndugu wa muislamu ni muislamu mwenzake"...!Atakayebisha ni mgonjwa wa kiseyeye tu.
 
Tangu kuundwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 1964, mawaziri wa Fedha wa Serikali ya Muungano waliotoka Zanzibar ni hawa:

1. Amir Habib Jamal
Alihudumu kama Waziri wa Fedha na Mipango kwa vipindi mbalimbali kati ya miaka ya 1966 hadi 1972, na baadaye akarudi tena kushika wizara hiyo katika miaka ya 1975–1977 na 1980–1983. Alikuwa mzaliwa wa Zanzibar.

2. Saada Mkuya Salum Alihudumu kama Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia 2013 hadi 2015. Anatokea Zanzibar.

3.Khamis Mussa Omar Aliteuliwa kuwa Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2026 na anatokea Zanzibar.
 
mnafanya kosa kubwa sana, hakuna kitu kama mzanzibari na mtanganyika bali kuna muslims vs the rest na siku mtalielewa hilo “fumbo” ndiyo siku mtakayopata uhuru wa kweli i.e muslims wote ni mali zanzibar na wako upande wa wazanzibari no matter what, ulishawahi labda kumsikia muslim wa bara akihoji chochote popote khs zanzibar raisi akiwa muslim? …
Wewe ni mdini mbona juzi Zanzibar waligoma kutibu wasio wazanzibari mbona hawakusema waislamu ? Mi ni Muslim, lakini nabaguliwa Zanzibar, nilienda sehemu nikaambiwa nirudie bara zenji Sina cha kusaidiwa, hawakuona UISLAMU wangu, wewe hufai ni boggers mpumbavu
 
Back
Top Bottom