Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
Wewe ni mdini mbona juzi Zanzibar waligoma kutibu wasio wazanzibari mbona hawakusema waislamu ? Mi ni Muslim, lakini nabaguliwa Zanzibar, nilienda sehemu nikaambiwa nirudie bara zenji Sina cha kusaidiwa, hawakuona UISLAMU wangu, wewe hufai ni boggers mpumbavu
yeah lkn muslims wa bara hawezi "kumbagua" mzanzibari huku bara, kwanza kama bara wakitaka ku-revenge wanayofanyiwa huko zanzibar watakao pinga na kuwatetea wazanzibari huku bara ni muslims, iko hivyo ...