Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Gentleman,Kwa nijuavyo, hatujawahi kuwa na waziri wa fedha mzenj tangia Nyerere hadi Magu. Najua. Fedha si suala la muungano huenda ndiyo maana wote wenye akili timamu waliamua kutokuwa na mawaziri wa fedha wazenj. Je, ilikuwa ni ubaguzi, upendeleo, au mahitajio ya katiba ya JMT? Imekuwaje Samuya akatuletea mzenj mwenzake tofauti na wenzake?
Acheni wivu yaan kisa tumetenga trillion moja kwa ajili ya safari na posho mnapiga kelele hivoMzee Kikwete alifanya hivyo pia kwa Sauda Mkuya mbaguzi wa watanganyika.
Naona Mama Samia anafuata nyayo ...
Ni kweli kwa machawa ila kwa wenye akili hayo yote unayosema ni upuuzi na uchawa mtupu.Gentleman,
Licha ya hoja yako kua nonsense, ya kibaguzi na yenye upotoshaji na unafiki mwingi ndani yake,
Zakia Meghji alikua miongoni mwa mawaziri muhimu sana katika wizara mbalimbali ndani ya serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania, ikiwa ni pamoja na kua waziri wa mali asili na utalii, lakini pia alikua waziri wa fedha, aliatekeleza wajibu wake kwa bidii na weledi wa kiwango cha juu sana 🐒
Salum saada mkuya aliwahi kuwa waziri wa fedha kipindi Cha JAkayaKwa nijuavyo, hatujawahi kuwa na waziri wa fedha mzenj tangia Nyerere hadi Magu. Najua. Fedha si suala la muungano huenda ndiyo maana wote wenye akili timamu waliamua kutokuwa na mawaziri wa fedha wazenj. Je, ilikuwa ni ubaguzi, upendeleo, au mahitajio ya katiba ya JMT? Imekuwaje Samuya akatuletea mzenj mwenzake tofauti na wenzake?
Acha udini, Kuna waislam kibao wanaongelea Tanganyika ambayo haipomnafanya kosa kubwa sana, hakuna kitu kama mzanzibari na mtanganyika bali kuna muslims vs the rest na siku mtalielewa hilo “fumbo” ndiyo siku mtakayopata uhuru wa kweli i.e muslims wote ni mali zanzibar na wako upande wa wazanzibari no matter what, ulishawahi labda kumsikia muslim wa bara akihoji chochote popote khs zanzibar? …
Acha udini, Kuna waislam kibao wanaongelea Tanganyika ambayo haipo
Hivi Zakia Meghji ni wa wapiSaada Mkuya enzi ya Kikwete
Maana WA awamu Ile baada ya Mgimwa kugimwà, watu wenye msimamo ikawa ni kama marufuku kuwa paleHivi Zakia Meghji ni wa wapi
Mfano mzuri ni Fatuma Karume wa Magufuli na huyu Fatuma Karume wa Kizimkazi.Au Faizafoxy wa Magufuli na huyu aliyefariki.nakuhakikishia hakuna, na siku wakifanya hivyo ni pale raisi wa tanzagiza anapokuwa siyo muslim, na hapo sasa wanaungana na mabosi wao wa zanzibar kulalamikia “kero” za muungano.
tatizo hamuelewi labda kinachoendelea kama hamuelewi historia kamwe hamuwezi kujikomboa kwani adui anaijua historia ila ninyi ndiyo mko in denial au labda hata hamuielewi historia …
Mfano mzuri ni Fatuma Karume wa Magufuli na huyu Fatuma Karume wa Kizimkazi.Au Faizafoxy wa Magufuli na huyu aliyefariki.
Slogan ni ileile..."ndugu wa muislamu ni muislamu mwenzake"...!Atakayebisha ni mgonjwa wa kiseyeye tu.wengi hawaelewi its not even about chadema vs ccm ni islamist vs the rest siku wakija kulijua hilo kama watakuwa hawajachelewa ndiyo ukombozi wa kweli watakuwa wameupata.
wengi wa bara ni naive wanafikiri na kuamini kwamba muslims wa bara wako pamoja nao against zanzibar, wanaota na kujidanganya, hawajiulizi kwa nini zanzibar is so powerful huku bara? nani anawapa hiyo power huku bara? …
Slogan ni ileile..."ndugu wa muislamu ni muislamu mwenzake"...!Atakayebisha ni mgonjwa wa kiseyeye tu.
Wewe ni mdini mbona juzi Zanzibar waligoma kutibu wasio wazanzibari mbona hawakusema waislamu ? Mi ni Muslim, lakini nabaguliwa Zanzibar, nilienda sehemu nikaambiwa nirudie bara zenji Sina cha kusaidiwa, hawakuona UISLAMU wangu, wewe hufai ni boggers mpumbavumnafanya kosa kubwa sana, hakuna kitu kama mzanzibari na mtanganyika bali kuna muslims vs the rest na siku mtalielewa hilo “fumbo” ndiyo siku mtakayopata uhuru wa kweli i.e muslims wote ni mali zanzibar na wako upande wa wazanzibari no matter what, ulishawahi labda kumsikia muslim wa bara akihoji chochote popote khs zanzibar raisi akiwa muslim? …