Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Leo hii BOT ipandishe interest kwa asilimia 10 utaona kama shilingi haitapanda. Ila sasa maumivu kwa raia itakuwa balaa. Hiyo mikopo mtu analipa laki mbili kwa mwezi, atatakiwa kulipa laki nne.
Interest rate ni factor mojawapo ya ku control thamani ya pesa. Ukishusha interest thamani ya pesa inapungua kwasababu pesa nyingi zinakuwa mitaani. Ukipandisha interest pesa nyingi zinarudi bank na hivyo thamni yake inapanda.
Of course kuna factors zingine pia.
Kuna mambo unachanganya. Contractionary na expansionary measures lengo lake sio kupandisha na kushusha thamani ya currency!