Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Leo hii BOT ipandishe interest kwa asilimia 10 utaona kama shilingi haitapanda. Ila sasa maumivu kwa raia itakuwa balaa. Hiyo mikopo mtu analipa laki mbili kwa mwezi, atatakiwa kulipa laki nne.
Interest rate ni factor mojawapo ya ku control thamani ya pesa. Ukishusha interest thamani ya pesa inapungua kwasababu pesa nyingi zinakuwa mitaani. Ukipandisha interest pesa nyingi zinarudi bank na hivyo thamni yake inapanda.
Of course kuna factors zingine pia.
Weka ushahidi wa unayoandika. Kwamba reserve ya Chuma Leganga inatosha kulisha Dunia miaka 100? Dunia ilishindwa nini kuwekeza kama kuna reserve ya maana kiasi hicho?Chuma kilichopo Liganga kinatosha matumizi ya dunia nzima kwa zaidi ya miaka 100. Kiasi cha gesi iliyopo kwenye ardhi na bahari yetu inaizidi ile iliyoko Russia na Ukraine combined.
Lakini tunajiona wanyonge kwenye dunia hii na kuendelea kuwa ombaomba wa dunia kama walivyo ndugu zetu na watani zetu Wagogo kwa akina Ndugae!
Tuna maelfu kwa maelfu wa tembo wenye nzuri zenye thamani kubwa sana duniani ambazo tungaliweza kuwa tunazivuna bila kuwaua tembo (bali tunawapandikizia za bandia). Thamani ya pembe za tembo 100 kwa mwezi ingalituwezesha kuteremsha bei ya mafuta ya petroli hadi kufikia Sh buku moja au hata jero kwa lita!!!
Toa takwimu tukuamini vinginevyo wewe ni chawa wa warusi!Chuma kilichopo Liganga kinatosha matumizi ya dunia nzima kwa zaidi ya miaka 100. Kiasi cha gesi iliyopo kwenye ardhi na bahari yetu inaizidi ile iliyoko Russia na Ukraine combined.
Lakini tunajiona wanyonge kwenye dunia hii na kuendelea kuwa ombaomba wa dunia kama walivyo ndugu zetu na watani zetu Wagogo kwa akina Ndugae!
Tuna maelfu kwa maelfu wa tembo wenye nzuri zenye thamani kubwa sana duniani ambazo tungaliweza kuwa tunazivuna bila kuwaua tembo (bali tunawapandikizia za bandia). Thamani ya pembe za tembo 100 kwa mwezi ingalituwezesha kuteremsha bei ya mafuta ya petroli hadi kufikia Sh buku moja au hata jero kwa lita!!!
Daa ukilaza huu, Rubble imeimarika baada ya Russia kuweka shariti la Mafuta na gesi vinunuliwe kwa Rubble, Lakini uchumi wa Russia unayumba hatari Hadi juzi Putin aliwahasa Matajiri wasiondoke RussiaBiden alikuwa anakenua kuona jinsi ruble ilivyokuwa inaporomoka baada ya sanctions zao. Yule bastard sijui anajisikiaje sasa kuiona ruble imeimarika kuliko ilivyokuwa kabla ya sanctions!
Daa ukilaza huu, Rubble imeimarika baada ya Russia kuweka shariti la Mafuta na gesi vinunuliwe kwa Rubble, Lakini uchumi wa Russia unayumba hatari Hadi juzi Putin aliwahasa Matajiri wasiondoke Russia