Ni swali zuri, linafanana na la kwanini tunaogopa serikali tatu?Yaani Pm anatuona sisi mambulula eti wameshalipia makinikia. Sasa kwanini wasitengeneza hayo madini hapa hapa kuleta ajira kwa vijana
Ilemela ipi tena?[emoji1787]Kwahiyo SMELTER yetu hapa Ilemela useless tena?
Kwa makinikia ya Bulyankulu nadhani wana kama 3 weeks wameanza kuyachukua. Malori hua yanakuwa Segese(jimbo la Msalala) kama kituo cha kukusanyika kufata mzigo KakolaNa nadhani kelele za trucks kuonekana na mzigo umeanza siyo zaidi ya wiki au wiki mbili...kwa hiyo haya ni mabadiliko ya hivi karibuni. Na ndicho kilichopelekea Waziri Mkuu kuulizwa bungeni.
Lakini kama kuna wanunuzi wa makinikia mbona ilifanywa siri na ni fursa ya vijana hapa hapa nchini kujiajiri?
Nitarudia 'dead men tell no tales' hata wakituambia walianza kusafirisha muda tu hata kama siyo kweli tutakubali tu.
Tatizo ni kuwa uwongo wake ulikuwa una manufaa kwa nchi, maana tuliona investiments ambazo ukijiuliza alitoa wapi pesa hapo sasa utatuthibitishia vipi kuwa alikuwa mwongo?Mwendazake alikuwa laghailaghai, anadanganya hata akisima a madhabahuni.
Lilikuwa kosa kubwa sana kumsadiki bwana yule
Musa wapi ni farao tu na nguo za musaTunarud misiri mdogo mdogo, baada ya Musa kufariki
Kuna wehu hapa walipinga baada ya mtoa uzi mmoja kusema makinikia yameanza kupelekwa nje na ameona / kahesabu kama malori 54 na hivi huko Kahama yakisafirisha makinikia lakini wale ndugu zetu waliopata mahaba hivi karibuni wakaanza kumsema jamaa ni muongo, haya juzi yamesemwa sasa ni kula kuku kama loote, tunarudi kulekule tulikotoka kwa bwana yule.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kupitia majibu yake bungeni ametuarifu kuwa Serikali imeruhusu usafirishaji wa makinikia nje ya nchi.
Usafirishaji wa haya makinikia nje ya nchi ndio ililteta mgogoro na kampuni hiyo ya uchimbaji dhahabu kiasi kwamba tukaaminishwa kuwa kampuni ilikuwa inatuibia maliasili yetu kwa kusafirisha huo mchanga nje ya nchi.
Waziri Kabudi ndio alikuwa chief negotiator wetu kwenye huo mgogoro na hiyo kampuni.
Ningemuomba atuwekee wazi mambo yafuatayo:
1. Sababu zilizofanya kubadili msimamo hata kuruhusu kampuni iendelee kusafirisha huo mchanga ili hali tuliaminishwa kuwa wangejenga SMELTER hapa nchini.
2. Tuliaminishwa kuwa tulikuwa tunaidai kampuni ya Barrick us$ 191 billion; mpaka Rais akaahidi kuwa baada ya malipo kila mmoja wetu angepata NOAH moja, halafu mkabadilika na kukubali kulipwa us$300 mill. kama kishika uchumba nazo zingelipwa kidogo kidogo!! Kitu gani kiliwasibu?
3. Kwanini mlikubali kuwa migogoro yote na Barrick iamuliwe nje ya nchi na sio Tanzania?
Mbona hukusema au kuleta taarifa hapaKwa wasiofahamu/ wanaoishi mbali na mgodi wa bulyang'hulu wanaweza dhani labda makinikia yameanza kusafirishwa baada ya JPM kufariki, Ukweli ni kwamba Tangu mwaka Jana Mgodi ulipofunguliwa tena, wakazi wa Kakola tulianza kuona msururu wa Makonteina yakisafirisha Makinikia. Kwa kupindi hicho tangu mwaka Jana yalikuwa yanasombwa toka Mgodini yanapelekwa Bandari kavu ya Isaka kwa ajili ya kupakiwa kwenye treini. Kwahiyo hata mwenda zake kaondoka kashabariki usafirishaji wa haya Makinikia sasa nisijue hapo mwanzo alipigania nini mpaka mgodi ukafungwa.
Sasa mbona na wewe umetukana wakati unajiona malaika mkuu?Tukishakubaliana huwezi kumjua shoga kama wewe siyo shoga. Hivyo basi hata wewe magu2016 unapumuliwa.
The best way ni kuja na hoja na siyo matusi kwa kuwa hakuna tusi jipya duniani. Ukitukana maana yake huna hoja
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kupitia majibu yake bungeni ametuarifu kuwa Serikali imeruhusu usafirishaji wa makinikia nje ya nchi.
Usafirishaji wa haya makinikia nje ya nchi ndio ililteta mgogoro na kampuni hiyo ya uchimbaji dhahabu kiasi kwamba tukaaminishwa kuwa kampuni ilikuwa inatuibia maliasili yetu kwa kusafirisha huo mchanga nje ya nchi.
Waziri Kabudi ndio alikuwa chief negotiator wetu kwenye huo mgogoro na hiyo kampuni.
Ningemuomba atuwekee wazi mambo yafuatayo:
1. Sababu zilizofanya kubadili msimamo hata kuruhusu kampuni iendelee kusafirisha huo mchanga ili hali tuliaminishwa kuwa wangejenga SMELTER hapa nchini.
2. Tuliaminishwa kuwa tulikuwa tunaidai kampuni ya Barrick us$ 191 billion; mpaka Rais akaahidi kuwa baada ya malipo kila mmoja wetu angepata NOAH moja, halafu mkabadilika na kukubali kulipwa us$300 mill. kama kishika uchumba nazo zingelipwa kidogo kidogo!! Kitu gani kiliwasibu?
3. Kwanini mlikubali kuwa migogoro yote na Barrick iamuliwe nje ya nchi na sio Tanzania?
Yes mkuu. Mbona walishauza containers zilizokamatwa ili walipe kishika uchumba? Mbona hii ilishaanza toka enzi za mwendazake???..ACACIA / BARRICK walikuwa wanatoa taarifa za mara kwa mara nini kilikuwa kinaendelea ktk KESI walizofungua mahakamani, na MAJADILIANO yao na serikali.
..na taarifa hizo kuna baadhi ya wanachama wa JF walikuwa wanazileta hapa jukwaani ili kuwahabarisha Watanzania kwa ujumla.
..Nawashangaa sana mlioshtushwa na taarifa ya Waziri Mkuu bungeni. Namshangaa hata na mbunge aliyeuliza swali. Mambo haya yalikuwa wazi kwa kipindi kirefu.
Cc Pascal Mayalla
Yes mkuu. Mbona walishauza containers zilizokamatwa ili walipe kishika uchumba? Mbona hii ilishaanza toka enzi za mwendazake???
Kabudi yupo Nchi hii???Mwendazake alikuwa laghailaghai, anadanganya hata akisima a madhabahuni.
Lilikuwa kosa kubwa sana kumsadiki bwana yule
..wakati mwingine UONGO unavutia kuusikia kuliko ukweli.
..serikali ilikuwa inasema uongo kwa wananchi, na uongo huo ulikuwa mzuri kuusikiliza.
..ilifika wakati Prof.Kabudi akawa anasema kuwa serikali itapata 70% ++ ya faida, na Barrick kubakiwa na 30%++.
..pia kulikuwa na madai kwamba serikali italipwa usd 191 billion. Ni vigumu sana kuwarudisha kwenye mstari wananchi waliolishwa uongo wa aina hiyo na kiongozi wanayempenda na kumuamini.
..Hata kuuliza kuhusu makinikia sasa hivi kwa mtizamo wangu kujidanganya. Watanzania tunatakiwa tuulize madai yetu ya usd 191 billion dhidi ya Barrick yamefikia wapi.
Watanzania tuwe tunapenda kusoma vitu na kifuatilia habari zake, hii itatusaidia kuwa na uelewa na kujadili mambo kiundani kidogo.
Kwenye ule mkataba iliwekwa wazi kabisa...Barrick aendelee kusafirisha makinikinia na ujenzi wa smelter sio jukumu lake....
Tanzania ni nchi ya 24 ka ukubwa duniani kufuatana na idadi ya watu, ardhi yenye rutuba (siyo jangwa) na raslimali. Lakini tunaishi maisha ya kubashiri tu, na sababu kubwa ni kushindwa ksuimamia raslimali za nchi. Nchi za uarabuni Saudi arabia hawana kitu chochote ila mafuta tu, na wanayasimamia vizuri sana
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kupitia majibu yake bungeni ametuarifu kuwa Serikali imeruhusu usafirishaji wa makinikia nje ya nchi.
Usafirishaji wa haya makinikia nje ya nchi ndio ililteta mgogoro na kampuni hiyo ya uchimbaji dhahabu kiasi kwamba tukaaminishwa kuwa kampuni ilikuwa inatuibia maliasili yetu kwa kusafirisha huo mchanga nje ya nchi.
Waziri Kabudi ndio alikuwa chief negotiator wetu kwenye huo mgogoro na hiyo kampuni.
Ningemuomba atuwekee wazi mambo yafuatayo:
1. Sababu zilizofanya kubadili msimamo hata kuruhusu kampuni iendelee kusafirisha huo mchanga ili hali tuliaminishwa kuwa wangejenga SMELTER hapa nchini.
2. Tuliaminishwa kuwa tulikuwa tunaidai kampuni ya Barrick us$ 191 billion; mpaka Rais akaahidi kuwa baada ya malipo kila mmoja wetu angepata NOAH moja, halafu mkabadilika na kukubali kulipwa us$300 mill. kama kishika uchumba nazo zingelipwa kidogo kidogo!! Kitu gani kiliwasibu?
3. Kwanini mlikubali kuwa migogoro yote na Barrick iamuliwe nje ya nchi na sio Tanzania?
Pole ndugu,Fala mkubwa hujui chochote mfuate huyo Lissu wako huko kwa mabeberu huyo Rais Wa Chama Cha Mashoga wa SA.
Ndugu hujui hela zinatoka wapi kwa ajili ya miundo mbinu? Upo DUNIA hii au mwenzetu upo SAYARI ya MARS.Tatizo ni kuwa uwongo wake ulikuwa una manufaa kwa nchi, maana tuliona investiments ambazo ukijiuliza alitoa wapi pesa hapo sasa utatuthibitishia vipi kuwa alikuwa mwongo?
Lets see time is a good healer!