Kabudi hana budi kutuambia makubaliano walioingia na kampuni ya Barrick kuhusu makinikia

Yaani Pm anatuona sisi mambulula eti wameshalipia makinikia. Sasa kwanini wasitengeneza hayo madini hapa hapa kuleta ajira kwa vijana
Ni swali zuri, linafanana na la kwanini tunaogopa serikali tatu?
 
Na nadhani kelele za trucks kuonekana na mzigo umeanza siyo zaidi ya wiki au wiki mbili...kwa hiyo haya ni mabadiliko ya hivi karibuni. Na ndicho kilichopelekea Waziri Mkuu kuulizwa bungeni.

Lakini kama kuna wanunuzi wa makinikia mbona ilifanywa siri na ni fursa ya vijana hapa hapa nchini kujiajiri?

Nitarudia 'dead men tell no tales' hata wakituambia walianza kusafirisha muda tu hata kama siyo kweli tutakubali tu.
Kwa makinikia ya Bulyankulu nadhani wana kama 3 weeks wameanza kuyachukua. Malori hua yanakuwa Segese(jimbo la Msalala) kama kituo cha kukusanyika kufata mzigo Kakola
 
Mwendazake alikuwa laghailaghai, anadanganya hata akisima a madhabahuni.
Lilikuwa kosa kubwa sana kumsadiki bwana yule
Tatizo ni kuwa uwongo wake ulikuwa una manufaa kwa nchi, maana tuliona investiments ambazo ukijiuliza alitoa wapi pesa hapo sasa utatuthibitishia vipi kuwa alikuwa mwongo?

Lets see time is a good healer!
 
Kwa wasiofahamu/ wanaoishi mbali na mgodi wa bulyang'hulu wanaweza dhani labda makinikia yameanza kusafirishwa baada ya JPM kufariki, Ukweli ni kwamba Tangu mwaka Jana Mgodi ulipofunguliwa tena, wakazi wa Kakola tulianza kuona msururu wa Makonteina yakisafirisha Makinikia. Kwa kupindi hicho tangu mwaka Jana yalikuwa yanasombwa toka Mgodini yanapelekwa Bandari kavu ya Isaka kwa ajili ya kupakiwa kwenye treini. Kwahiyo hata mwenda zake kaondoka kashabariki usafirishaji wa haya Makinikia sasa nisijue hapo mwanzo alipigania nini mpaka mgodi ukafungwa.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kupitia majibu yake bungeni ametuarifu kuwa Serikali imeruhusu usafirishaji wa makinikia nje ya nchi.

Usafirishaji wa haya makinikia nje ya nchi ndio ililteta mgogoro na kampuni hiyo ya uchimbaji dhahabu kiasi kwamba tukaaminishwa kuwa kampuni ilikuwa inatuibia maliasili yetu kwa kusafirisha huo mchanga nje ya nchi.

Waziri Kabudi ndio alikuwa chief negotiator wetu kwenye huo mgogoro na hiyo kampuni.

Ningemuomba atuwekee wazi mambo yafuatayo:

1. Sababu zilizofanya kubadili msimamo hata kuruhusu kampuni iendelee kusafirisha huo mchanga ili hali tuliaminishwa kuwa wangejenga SMELTER hapa nchini.

2. Tuliaminishwa kuwa tulikuwa tunaidai kampuni ya Barrick us$ 191 billion; mpaka Rais akaahidi kuwa baada ya malipo kila mmoja wetu angepata NOAH moja, halafu mkabadilika na kukubali kulipwa us$300 mill. kama kishika uchumba nazo zingelipwa kidogo kidogo!! Kitu gani kiliwasibu?

3. Kwanini mlikubali kuwa migogoro yote na Barrick iamuliwe nje ya nchi na sio Tanzania?
Kuna wehu hapa walipinga baada ya mtoa uzi mmoja kusema makinikia yameanza kupelekwa nje na ameona / kahesabu kama malori 54 na hivi huko Kahama yakisafirisha makinikia lakini wale ndugu zetu waliopata mahaba hivi karibuni wakaanza kumsema jamaa ni muongo, haya juzi yamesemwa sasa ni kula kuku kama loote, tunarudi kulekule tulikotoka kwa bwana yule.
 
Kwa wasiofahamu/ wanaoishi mbali na mgodi wa bulyang'hulu wanaweza dhani labda makinikia yameanza kusafirishwa baada ya JPM kufariki, Ukweli ni kwamba Tangu mwaka Jana Mgodi ulipofunguliwa tena, wakazi wa Kakola tulianza kuona msururu wa Makonteina yakisafirisha Makinikia. Kwa kupindi hicho tangu mwaka Jana yalikuwa yanasombwa toka Mgodini yanapelekwa Bandari kavu ya Isaka kwa ajili ya kupakiwa kwenye treini. Kwahiyo hata mwenda zake kaondoka kashabariki usafirishaji wa haya Makinikia sasa nisijue hapo mwanzo alipigania nini mpaka mgodi ukafungwa.
Mbona hukusema au kuleta taarifa hapa
 
..ACACIA / BARRICK walikuwa wanatoa taarifa za mara kwa mara nini kilikuwa kinaendelea ktk KESI walizofungua mahakamani, na MAJADILIANO yao na serikali.

..na taarifa hizo kuna baadhi ya wanachama wa JF walikuwa wanazileta hapa jukwaani ili kuwahabarisha Watanzania kwa ujumla.

..Nawashangaa sana mlioshtushwa na taarifa ya Waziri Mkuu bungeni. Namshangaa hata na mbunge aliyeuliza swali. Mambo haya yalikuwa wazi kwa kipindi kirefu.

Cc Pascal Mayalla
 
Tukishakubaliana huwezi kumjua shoga kama wewe siyo shoga. Hivyo basi hata wewe magu2016 unapumuliwa.

The best way ni kuja na hoja na siyo matusi kwa kuwa hakuna tusi jipya duniani. Ukitukana maana yake huna hoja
Sasa mbona na wewe umetukana wakati unajiona malaika mkuu?
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kupitia majibu yake bungeni ametuarifu kuwa Serikali imeruhusu usafirishaji wa makinikia nje ya nchi.

Usafirishaji wa haya makinikia nje ya nchi ndio ililteta mgogoro na kampuni hiyo ya uchimbaji dhahabu kiasi kwamba tukaaminishwa kuwa kampuni ilikuwa inatuibia maliasili yetu kwa kusafirisha huo mchanga nje ya nchi.

Waziri Kabudi ndio alikuwa chief negotiator wetu kwenye huo mgogoro na hiyo kampuni.

Ningemuomba atuwekee wazi mambo yafuatayo:

1. Sababu zilizofanya kubadili msimamo hata kuruhusu kampuni iendelee kusafirisha huo mchanga ili hali tuliaminishwa kuwa wangejenga SMELTER hapa nchini.

2. Tuliaminishwa kuwa tulikuwa tunaidai kampuni ya Barrick us$ 191 billion; mpaka Rais akaahidi kuwa baada ya malipo kila mmoja wetu angepata NOAH moja, halafu mkabadilika na kukubali kulipwa us$300 mill. kama kishika uchumba nazo zingelipwa kidogo kidogo!! Kitu gani kiliwasibu?

3. Kwanini mlikubali kuwa migogoro yote na Barrick iamuliwe nje ya nchi na sio Tanzania?

Mbona makinikia walianza kuuza wakati wa mwendazake? Baada ya kuanzishwa Twiga?
 
..ACACIA / BARRICK walikuwa wanatoa taarifa za mara kwa mara nini kilikuwa kinaendelea ktk KESI walizofungua mahakamani, na MAJADILIANO yao na serikali.

..na taarifa hizo kuna baadhi ya wanachama wa JF walikuwa wanazileta hapa jukwaani ili kuwahabarisha Watanzania kwa ujumla.

..Nawashangaa sana mlioshtushwa na taarifa ya Waziri Mkuu bungeni. Namshangaa hata na mbunge aliyeuliza swali. Mambo haya yalikuwa wazi kwa kipindi kirefu.

Cc Pascal Mayalla
Yes mkuu. Mbona walishauza containers zilizokamatwa ili walipe kishika uchumba? Mbona hii ilishaanza toka enzi za mwendazake???
 
..wakati mwingine UONGO unavutia kuusikia kuliko ukweli.

..serikali ilikuwa inasema uongo kwa wananchi, na uongo huo ulikuwa mzuri kuusikiliza.

..ilifika wakati Prof.Kabudi akawa anasema kuwa serikali itapata 70% ya faida, na Barrick kubakiwa na 30%.

..pia kulikuwa na madai kwamba serikali italipwa usd 191 billion. Ni vigumu sana kuwarudisha kwenye mstari wananchi waliolishwa uongo wa aina hiyo na kiongozi wanayempenda na kumuamini.

..Hata kuuliza kuhusu makinikia sasa hivi kwa mtizamo wangu kujidanganya. Watanzania tunatakiwa tuulize madai yetu ya usd 191 billion dhidi ya Barrick yamefikia wapi.
 
..wakati mwingine UONGO unavutia kuusikia kuliko ukweli.

..serikali ilikuwa inasema uongo kwa wananchi, na uongo huo ulikuwa mzuri kuusikiliza.

..ilifika wakati Prof.Kabudi akawa anasema kuwa serikali itapata 70% ++ ya faida, na Barrick kubakiwa na 30%++.

..pia kulikuwa na madai kwamba serikali italipwa usd 191 billion. Ni vigumu sana kuwarudisha kwenye mstari wananchi waliolishwa uongo wa aina hiyo na kiongozi wanayempenda na kumuamini.

..Hata kuuliza kuhusu makinikia sasa hivi kwa mtizamo wangu kujidanganya. Watanzania tunatakiwa tuulize madai yetu ya usd 191 billion dhidi ya Barrick yamefikia wapi.

Kazi sana. Ndio shida ya kusoma bila kuelimika halafu tunajiita wasomi. Kumbe ni watu tuliokariri
 
Watanzania tuwe tunapenda kusoma vitu na kifuatilia habari zake, hii itatusaidia kuwa na uelewa na kujadili mambo kiundani kidogo.

Kwenye ule mkataba iliwekwa wazi kabisa...Barrick aendelee kusafirisha makinikinia na ujenzi wa smelter sio jukumu lake....

Jiwe ameondoka na Kabudi ndio aliyebaki kati ya wale walioruhusu hayo makubaliano; ndio maana tunataka Kabudi ajibu kitu kilichowafanya kubadili msimamo uliokuwa na faida kubwa kwa nchi?
 
Tanzania ni nchi ya 24 ka ukubwa duniani kufuatana na idadi ya watu, ardhi yenye rutuba (siyo jangwa) na raslimali. Lakini tunaishi maisha ya kubashiri tu, na sababu kubwa ni kushindwa ksuimamia raslimali za nchi. Nchi za uarabuni Saudi arabia hawana kitu chochote ila mafuta tu, na wanayasimamia vizuri sana

Mpaka siku CCM watakapoondoka
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kupitia majibu yake bungeni ametuarifu kuwa Serikali imeruhusu usafirishaji wa makinikia nje ya nchi.

Usafirishaji wa haya makinikia nje ya nchi ndio ililteta mgogoro na kampuni hiyo ya uchimbaji dhahabu kiasi kwamba tukaaminishwa kuwa kampuni ilikuwa inatuibia maliasili yetu kwa kusafirisha huo mchanga nje ya nchi.

Waziri Kabudi ndio alikuwa chief negotiator wetu kwenye huo mgogoro na hiyo kampuni.

Ningemuomba atuwekee wazi mambo yafuatayo:

1. Sababu zilizofanya kubadili msimamo hata kuruhusu kampuni iendelee kusafirisha huo mchanga ili hali tuliaminishwa kuwa wangejenga SMELTER hapa nchini.

2. Tuliaminishwa kuwa tulikuwa tunaidai kampuni ya Barrick us$ 191 billion; mpaka Rais akaahidi kuwa baada ya malipo kila mmoja wetu angepata NOAH moja, halafu mkabadilika na kukubali kulipwa us$300 mill. kama kishika uchumba nazo zingelipwa kidogo kidogo!! Kitu gani kiliwasibu?

3. Kwanini mlikubali kuwa migogoro yote na Barrick iamuliwe nje ya nchi na sio Tanzania?

Taratibu tutaweza kuelewa ukweli wa waliokuwa wanatuficha. Pamoja na mitusi na kejeli kwa watu mbalimbali waliojaribu kututonya, polepole tutaweza kuielewa mikataba mbalimbali ya kibiashara na uwekezaji DUNIANI ambayo tumo kama taifa.

The Multilateral Investment Guarantee Agency (MIGA) is an international financial institution which offers political risk insurance and credit enhancement guarantees. These guarantees help investors protect foreign direct investments against political and non-commercial risks in developing countries.
[2] MIGA is a member of the World Bank Group and is headquartered in Washington, D.C. in the United States.
MIGA was established in 1988 as an investment insurance facility to encourage confident investment in developing countries.
[3] MIGA is owned and governed by its member states, but has its own executive leadership and staff which carry out its daily operations. Its shareholders are member governments that provide paid-in capital and have the right to vote on its matters. It insures long-term debt and equity investments as well as other assets and contracts with long-term periods. The agency is assessed by the World Bank's Independent Evaluation Group each year.
 
Fala mkubwa hujui chochote mfuate huyo Lissu wako huko kwa mabeberu huyo Rais Wa Chama Cha Mashoga wa SA.
Pole ndugu,
Hizo hasira mbuzi kamwe hazitoweza kukusaidia.
Jitahidi nenda kasome MIKATABA ya akina KABUNDI ili ujue ilivyoyumbishwa KAMA nchi na taifa likaimbishwa MAPAMBIO na kuchezeshwa ngoma za kumsifu shetani.
 
Tatizo ni kuwa uwongo wake ulikuwa una manufaa kwa nchi, maana tuliona investiments ambazo ukijiuliza alitoa wapi pesa hapo sasa utatuthibitishia vipi kuwa alikuwa mwongo?

Lets see time is a good healer!
Ndugu hujui hela zinatoka wapi kwa ajili ya miundo mbinu? Upo DUNIA hii au mwenzetu upo SAYARI ya MARS.

Unajua DENI la taifa limefika kiasi gani hadi sasa 2021?
 
Back
Top Bottom