Tetesi: Kabudi kuachia nafasi zote za kisiasa

Atokomee jalalani
 
Wewe nani wake hata uelewe fikra zake, mkewe?
 
Kuna watu wanapewa utukufu na heshima ambazo hawastahili kabisa kuwa nazo. Mfano mzuri ni huyu kabudi who is he by the way in this country?
Ni mwalimu wa sheria mahiri na amefundisha wanafunzi wengi hapa nchini. Unamdharau mtu afadhali hata yeye tunamtambua lakini wewe hata hatujui huo mchango wako.
 
Sa100 kavuruga nchi, imemshinda aache ngazi
 
Kama ni kweli itakuwa kafanya jambo la maana sana ili kuepuka kuambukizwa dhambi isiyomhusu ya kuuza nchi.
 
Aachie tuu Kwani Kuna shida gani?
 
Kabudi umekuja kupima maoni yetu haya sasa sikia wewe achia maana ni msomi uliyekengeuka
 
Naona unamzungumzia 'Kabugi' mwingine, siyo yule tunayemfahamu, aliyeokotwa jalalani.

Katika binaadam wasiokuwa na 'principle' yoyote maishani mwao, huyu anashikilia namba ya juu sana katika orodha ya watu wa aina hiyo.

Kwa jinsi alivyokuwa akigiza "uzalendo" wakati wa Magufuli, huyu wakati huu asingekuwa kanyamaza kama bubu kwenye jambo muhimu kama hili. Hata kuonyesha tu alama bila kuzungumza chochote, watu wangeelewa anasimamia wapi!
Lakini yupo, kama hayupo vile!
 
Acha porojo huyo mtaalamu wa jalalani anarudi jalalani kwake kwani hana manufaa yeyote kwa watu wenye akili timamu mwambie amfuate mwendazake kwani alikuwa ni mungu wake
 
acha aende tanzania na watanzania tutaendelea kuwepo..
nasubiri polepole pia maana huwezi kung'ang'ania namna ileile ya kuongoza wakti muda wa uongozi huo ulishapita. wao waende tu watupishe..
Utamsubiri sana wa kukupisha na hauta muona.
 
Ni uhuru wake wa kikatiba. Kama matarajio hayakidhi kwanini aendelee.
 

Mbona habari zako unatunga tu, na tetesi tu, acha kutunga uongo
 
Na ss hatukufurahishwa n wao na zama zao. Asepe mapema mbona anachelewa tu
 
Nimecheka mpaka baaasi,..Yaani "MACHO KA TAA ZA BENZ FULL"😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…