Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

Nilichoona mama ndio ana homa ya 2025.
 
Nimeshangaa sana, Rais alivyokuwa amefura kwa kuhujumiwa na kuahidi kubadili mawaziri, kumbe watu wenyewe watatu tu. Anaogopa kivuli chake mwenyewe.
 
Waliotemwa ni wasafya, dio wasukuma,,, ha ha ha,, hiyo sukuma gang sijui haipo, ni myth tu,,, labda kama ndugai ni msukuma[emoji16][emoji16].
Ni uvumi wa kijinga sana,
Kina doto james angelina mabula bashungwa, biteko, kadogosa. Hao ndo unaweza waita hivyo na wapo wanaendelea na kazi,,
Sasa lukuvi si ni mhaya
Kabudi mdengereko
Mkumbo ni mnyiramba
Waitara ni mshashi
Hakuna sukuma gang, ni uvumi wa kijinga kabisa

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Haya ndio yale mapapa yapo na ndugai na pole pole sasa mama kayaacha yakaunde genge lao na bado tunayaangalia sanas
 
Nchi ina vituko. Badala ya kuwaza kuwatumikia Watanzania, mtu anawaza uRais 2025. Tena anaongelea hili kila apandapo majukwaani.
 
Mwigulu anapenda uraia but beyond 2030,
Huyu yuko group moja na kina january, nape,, etc, hawana pupa umri unawaruhusu kusubiri hata miaka 20 mbele..
Kina ndugai hawawezi subiri miaka hiyo wanataka kugombea now now

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Huyu yuko group moja na kina january, nape,, etc, hawana pupa umri unawaruhusu kusubiri hata miaka 20 mbele..

Samia kwa uteuzi aliofanya ametangaza wazi wazi kuwa yeye yuko upande gani wa myukano huko ccm. Ili asionekane mnafiki ni vyema akaacha hata kuitumia ile slogan yao ya "...KAZI IENDELEE" kwani mambo anayofanya ni kinyume kabisa ya " HAPA NI KAZI TU" . Watu waliotemwa na Mwendazake Ndio hao anawarudisha kazini hivyo huo sio muendelezo wa kazi!!
 
Hivi kwanini Rais anafooka Sana anaposikia kuwa mtu anataka kugombea Urais? Kwani mtu akiutaka Urais utendaji wake wa kazi unapungua?
 
Na mimi nilikuwa nna hamu sana kuwafahamu hao sukuma gang. Kumbe ni kina Kabudi?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Inawezekana Mama au wana CCM wanaogopa kitu kisichokuwepo.

Pengine bado wana hofu na mwendazake.
Hapana, wana ajenda yao fulani ila maneno ya kumwambia mwananchi wa kawaida,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…