Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

Huyu alikuwa anautaka Urais.
Huyu in kwa sababu ya ULEVI wake na yuko arrogant kupita kiasi. The guy doesn't behave/look as a minister. Yaani MTU unajiuliza huyu naye aliupataje hata huo uNaibu!! Very useless guy ever seen on earth.
Nadhani atarudi Ukawa sasa. Anyway, who cares he can go even to hell!
 
Mbaya zaidi alijinasibu kununuliwa na akina Polepole. Atatelekeza jimbo lake halali la Ukonga, akahujumu miradi ya ujenzi wa barabara kwa wakurya wenzake, kule kumebakia mashimo barabarani. Sasa anarudi kule kule alikokuhujumu akayaishi matunda ya chuki zake.
 
Lukuvi yupo vizuri kwa mtazamo wangu, lakini hatuwezi kuzuia asitenguliwe.
 
Mostly Likely It's All About The 'Fear Of Unknown'; And This Is So Bad That It Can Result Into One Loosing Focus On Important Matters.
 
Duh, Lukuvi jamani, au labda atakuwa speaker, kiukweli Mh. Lukuvi anapiga kazi sana, huwezi niambia unamweka Ridhiwani, umwache Lukuvi.. Au Lukuvi atakuwa PM au Speaker, ngoja tuone
Atapataje Experience uyo ridhiwan kama kila siku nafasi wanazo kinaLukuvi
 
Kumbuka amekuwa rais UDSM pia na aliweza kukitoa kinyago Heche alichokichonga mwenyewe.

In short maisha yako yote hutamfikia hata nusu Waitara
 
Dhambi ya usaliti haijawahi kumuacha MTU salama. Waitara ameanza kulipa hiyo dhambi. Sidhani kama ukitoa familia yake, kuna yeyote anayeumizwa na kutumbuliwa kwake! Let him go!
 
Hawa akina Lukuvi, Waitara, mwambe, kitila na prof kabudi wametolewa wakajiandae na 2025 inaonekana hawa ndio walihitaji hiyo nafasi nyeti serikalini

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Nyota ikififia ndo hivyo, hata ufanye kazi huonekani
 
Ni kwamba; wenye CCM yao walikua wanaitaka na mama hakua na ujanja zaidi ya kutafuta mpenyo wa kuirudisha kwa wenyewe. Yule mgogo alipojichanganya tu mama katelezea mulemule. Hakuna kitu ilikua inauma wana CCM kuachwa na magu kuwanunua upinzani na kuwazawadia vyeo.
 
Tunaenda shimoni kwa kuwaacha vigeugeu kama kabudi na kitila? Seriously?
 
Unaijua TISS ? Muwe mnaongea mambo yenye maana sio kujaza pages. Mtu aliyetingisha mfumo ni Lowasa akigombea na Magufuli. Bila kula kuibiwa hali ilikuwa mbaya. Wengine ni vinyamkera tu. Hata Lissu alijaribu japo kwa mbali tu.
TISS kitu gani wewe???,As far as ni binadamu sidhani km Wana nguvu kiasi tunachofikiria, Ingekuwa Hivyo Magufuli tusingempoteza maana sidhani km ni Mapenzi ya MUNGU.
 
Nadhani Hawa Rais alikuwa na ugomvi nao mwingine ama ni bangusilo.Kama Kuna homa ya 2025 au kumkwamisha rais basi kawatoa ili kutoa ujumbe kwa big fish wengine waogope.Kuniambia Waitara,Mkumbo,Kabudi na Mwambe eti ni tishio kwa rais 2025 nakataa.Hao ni watu wepesi kabisa kama Alberto Msando na Lijualikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…