Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 819
Agombee nini!!?"....mwanangu nina watoto kama wewe na wajukuu pia katika muktadha huo hunibidi hasa kwa wakati huu ning'amue baadhi ya mambo kwa umakini mkubwa na ndiyo maana nimekujuza kuhusu u muhimu wa umri niliobakiwa nao niutumie kuishi vyema na wao."
"....jawabu langu li bayana sitogombea!"
Profesa.
Labda urais wa manzese hapo Sawa.Agombee nini!!?
Uraisi!!?
Viongozi waoga kama hawa, hawatufai kabisa."....mwanangu nina watoto kama wewe na wajukuu pia katika muktadha huo hunibidi hasa kwa wakati huu ning'amue baadhi ya mambo kwa umakini mkubwa na ndiyo maana nimekujuza kuhusu u muhimu wa umri niliobakiwa nao niutumie kuishi vyema na wao."
"....jawabu langu li bayana sitogombea!"
Profesa.
Kabudi ni one of the greatest minds nchini. Ni vile tu anaelewa mambo mengi mno kiasi kwamba inakuwa ngumu kueleweka na wengi (ambao ni mbumbumbu).
Alituaminisha hela kiasi cha kila Mtanzania kupata gari la Noah. Asepe tu."....mwanangu nina watoto kama wewe na wajukuu pia katika muktadha huo hunibidi hasa kwa wakati huu ning'amue baadhi ya mambo kwa umakini mkubwa na ndiyo maana nimekujuza kuhusu u muhimu wa umri niliobakiwa nao niutumie kuishi vyema na wao."
"....jawabu langu li bayana sitogombea!"
Profesa.
Hayo ni mambo madogo sana. Angalia big picture, usipotezwe na kelele ndogo ndogo za pembeni.Mnafiki sana huyo Professor uchwara, sbb alimuita binadamu mwenzake kama Mungu na alimuabudu, pia hadi alisema katolewa jalalani, yaani UDSM ni jalalani, hizi kauli mbili ni ujinga wa kiwango cha juu na zitaishi milele, hivi sasa hawezi katiza mitaa ya UDSM, sbb kadhalilisha sana wasomi.
Hivi Tanzania inafuata itikadi gani ya siasa,ni nchi ya Kijamaa au ya Kibepari!Nyie wahafizina ujamaa mnaoulilia umetuchelewesha Sana mwacheni mama apige mixed economy kimya kimya, asaivi pigeni makelele tu Ila muda si mrefu mtamuelewa tu.