Tetesi: Kabudi: Sifahamu wao kuhusu mimi nimechagua kuishi

Mnada wa Mhunze

Senior Member
Joined
Mar 1, 2023
Posts
168
Reaction score
819
"....mwanangu nina watoto kama wewe na wajukuu pia katika muktadha huo hunibidi hasa kwa wakati huu ning'amue baadhi ya mambo kwa umakini mkubwa na ndiyo maana nimekujuza kuhusu u muhimu wa umri niliobakiwa nao niutumie kuishi vyema na wao."

"....jawabu langu li bayana sitogombea!"

Profesa.
 
Agombee nini!!?

Uraisi!!?
 
Viongozi waoga kama hawa, hawatufai kabisa.
Kiongozi lazima ajitoe muhanga kwa ajili ya anaowaongoza. Na ndiyo maana huwa tunawapa heshima na taadhima zote kama viongozi wetu. Sasa cha kushangaza, asilimia kubwa ya viongozi tulio nao, wanapenda tu heshima na privilege zingine za kiongozi, ila ni waoga sana linapokuja suala la kuji-sacrifice!
Ndo maana nathubutu kusema sisi kama nchi, tumebahatika kuwa na viongozi kwa maana ya viongozi kweli wachache sana kama vile Hayati JPM, JKN, Sokoine, BWM, Gen Mtukula, n.k. wengine ni wapigaji tu kama wapigaji wengine.
 
Kabudi ni one of the greatest minds nchini. Ni vile tu anaelewa mambo mengi mno kiasi kwamba inakuwa ngumu kueleweka na wengi (ambao ni mbumbumbu).

Mnafiki sana huyo Professor uchwara, sbb alimuita binadamu mwenzake kama Mungu na alimuabudu, pia hadi alisema katolewa jalalani, yaani UDSM ni jalalani, hizi kauli mbili ni ujinga wa kiwango cha juu na zitaishi milele, hivi sasa hawezi katiza mitaa ya UDSM, sbb kadhalilisha sana wasomi.
 
"....mwanangu nina watoto kama wewe na wajukuu pia katika muktadha huo hunibidi hasa kwa wakati huu ning'amue baadhi ya mambo kwa umakini mkubwa na ndiyo maana nimekujuza kuhusu u muhimu wa umri niliobakiwa nao niutumie kuishi vyema na wao."

"....jawabu langu li bayana sitogombea!"

Profesa.
Alituaminisha hela kiasi cha kila Mtanzania kupata gari la Noah. Asepe tu.
 
Mnafiki sana huyo Professor uchwara, sbb alimuita binadamu mwenzake kama Mungu na alimuabudu, pia hadi alisema katolewa jalalani, yaani UDSM ni jalalani, hizi kauli mbili ni ujinga wa kiwango cha juu na zitaishi milele, hivi sasa hawezi katiza mitaa ya UDSM, sbb kadhalilisha sana wasomi.
Hayo ni mambo madogo sana. Angalia big picture, usipotezwe na kelele ndogo ndogo za pembeni.
 
Back
Top Bottom