Kabul Airport waambulia ndege na magari mabovu

Kabul Airport waambulia ndege na magari mabovu

Hakuna nchi inayoitwa Khazakhstan, ila kuna nchi inayoitwa "TAJIKISTAN"

Are you serious
Really
Kazakhstan na ukubwa wake wote huo unasema hakuna nchi inaitwa hivyo
Geography imekupiga chenga lakini ungeangalia hata google kujiridhisha
IMG_2269.jpg

IMG_2268.png
 
Siku ya kuondoka jeshi la Marekani kwenye uwanja wa ndege wa Kabul, taliban waliingia kwa mbwembwe na furaha ikawajia, baada ya kuona ndege za kivita na helicopters aina Hawks na Magari ya Hunvee yalioaachwa na jeshi la Marekani, kumbe Wamarekani waliharibu kila kitu ambae sio rahisi kutengenezeka na kuacha magofu yasioweza kutumika.

View attachment 1920558View attachment 1920560View attachment 1920561View attachment 1920562View attachment 1920563View attachment 1920564View attachment 1920565View attachment 1920566
Watauza sklepa
 
Mkuu vipuli vya kutengeneza Helicopter kama black hawk usifikiri ni kama spare za IST au subaru kwamba unaenda maduka ya kariakoo kununua...ni lazma spare uinunue kwenye kampuni husika iliyotengeneza Hizo ndege tena kwa Oda na mfumo maalum wa Manunuzi wa Serikali au Jeshi.

Wewe unafikiri Hizo ndege ni bajaji?

Yaani hao taliban wakijitia wajuaji zitawaua waishe.

Na hata kama kuna Ndege ambazo bado ni nzima ni suala la muda tuu zikipata hitilafu kidogo tuu watakosa vipuli na kuzipaki juu ya Mawe, kwisha kazi.

Unafikiri Wamarekani ni wajinga wawaachie magaidi Ndege?

Mpaka USA wanaondoka hapo Airport wamekagua na kujiridhisha hakuna cha maana walichoacha.
usa ni akili kubwa mnoo hata kama hizo ndege ni zima ujue wanamahesabu yao wanafanya yakiwa ni kwa manufaa ya nchi yao.Ni swala la mda tu watu watawaelewa, hata kuodoka afughanistani watu wanafikiri wamekurupuka lakini sikivile, ili ,uwaelewe hawa jamaa calculation zao lazima uwe big brain .
 
Kuna waganda kibao wanakusanya chuma chakavu, usishangae ukakuta engine ya black hawks inauzwa kampala
 
Sasa mmeamini hawa wajinga wameshindwa Vita na kuondolewa,hasira wanamalizia kuharibu magari na ndege,
Superpower imegeuka kuwa kituko siku hizi
 
Umenifata pm kabisa bila aibu unataka nikukule tigo!!!?
mashoga mpo wengi hakika ona noma
Mwanaume rijali aliyekamilika na anaye jiamini hawezi kua na vimaneno vya kitoto na vya kutunga,wewe ni mpumbavu usiyejielewa,

Fuata ushauri niliyokupa,acha kuruka ruka hovyo hapa kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,wazazi wako wana hasara kubwa sana.
 
Acha ushabiki wa kitoto watatengeneza kwa ujuzi na vifaa vipi?
Tatizo lako unawachukulia Taleban kama vilaza fulani hivi. Kwa taarifa yako tu neno Taleban maana yake ni wanafunzi na Taleban iliundwa na vijana wasomi wenye ari ya kujifunza ili kupambana pamoja na Mujahiddin wengine dhidi ya majeshi ya Urusi yaliyoivamia Afghanistan na kuikalia kwa miaka kumi kuanzia 1979 hadi 1989 kabla ya kushindwa vita na kuondoka kwa aibu. Hao jamaa wana elimu nyingi kuhusu silaha maana hata bunduki wanazotumia nyingi wanatengeneza wenyewe. Pia, wanapata msaada kutoka Iran, Russia, China, Qatar na mataifa mengine ya Kiarabu. Kwahiyo kukarabati hizo ndege ni rahisi tu wakitaka.
 
Mkuu vipuli vya kutengeneza Helicopter kama black hawk usifikiri ni kama spare za IST au subaru kwamba unaenda maduka ya kariakoo kununua...ni lazma spare uinunue kwenye kampuni husika iliyotengeneza Hizo ndege tena kwa Oda na mfumo maalum wa Manunuzi wa Serikali au Jeshi.

Wewe unafikiri Hizo ndege ni bajaji?

Yaani hao taliban wakijitia wajuaji zitawaua waishe.

Na hata kama kuna Ndege ambazo bado ni nzima ni suala la muda tuu zikipata hitilafu kidogo tuu watakosa vipuli na kuzipaki juu ya Mawe, kwisha kazi.

Unafikiri Wamarekani ni wajinga wawaachie magaidi Ndege?

Mpaka USA wanaondoka hapo Airport wamekagua na kujiridhisha hakuna cha maana walichoacha.

Mmarekani kashindwa vita hadi silaha kasahau! Kweli kapatikana!
 
Mwanaume rijali aliyekamilika na anaye jiamini hawezi kua na vimaneno vya kitoto na vya kutunga,wewe ni mpumbavu usiyejielewa,

Fuata ushauri niliyokupa,acha kuruka ruka hovyo hapa kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,wazazi wako wana hasara kubwa sana.
Usinifate pm bana tafuta watu saizi yako wakusukumishe ukuta
 
Back
Top Bottom