Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Ni mtazamo tu mkuu, ila natamani TZ kungekuwa na options, mapema kabla hujafa unajiamulia unataka uzikwaje, Mimi kwangu ni moto tuIla hao wahindi hawachomani moto kwa sababu za kuhifadhi ardhi bali huchomana moto(kumaliza kuni) kwa sababu za imani zao.
Sasa tukianza kutizama mambo kwa mitazamo hiyo tutaanza hata kuona hizi nyumba za ibada zilizojaa nazo ni matumizi mabaya ya ardhi na hatutoishia hapo.
Bado unachanganya mambo...Naamini wewe sio mgeni hapa Tz,unaelewa vyema mbinu zao za kutest zali na kupigia debe upupu kabla ya kutuingiza kwenye majanga,Kila janga lilikuja baada ya kupigiwa debe na kupambwa matumaini kibao, kauli yake na Zito kabwe kuhusu TANESCO ikafuatiwa na ziala zake za kutafuta wawekezaji kwenye barozi za kigeni na posti zake kwenye mitandao ongeza na baadhi ya watu walioteuliwa kuwa na mgonhano wa kimaslahi na makampuni yaliyo tuumiza huko nyuma,jumlisha na kauli ya Muhongo bungeni hivi karibuni utapata majibu wapi tunaelekea. Haina Shaka subiri utashuhudia mwenyewe.
Halafu kuna wajuba wanataka Maza aendelee hadi 2035.Asante kwa kumsitiri vyema shujaa wetu,ingawa alikuwa na mapungufu yake Ila Mimi wiki hii nimeanza kumuona alikuwa Ni shujaa, toka nipate tetesi eti tunatafuta wawekezaji waje tuizike TANESCO na wakati huohuo Nyerere Dam inaanza kutapika umeme mwakani kwa gharama zetu halafu waje watu kuvuna tu!
Nilikuwa natarajia kuanza kupika kwa jiko la umeme na tayari nimeshanunua na pasi na mengineyo kwa kujidai Kama alivyo tuahidi mwendazake kuwa atatupatia umeme kwa Bei nafuu tuachane na mkaa.
Halafu mnakuja na mbwembwe ati mnataka watu Kati madalali Kweli?
Nimem miss Sana huyo mzee alale kwa amani namuahidi tutapambana nao.
Gadaffi aliacha nyingi zaidi ya hizo, lakini haikuondoa udictator wake.Wewe kenge kweli; mama amekuta $5.8 billion kwenye reserve, unajua nani aliziacha?
Nani sasa watatekeleza huo wasio?Ni mtazamo tu mkuu, ila natamani TZ kungekuwa na options, mapema kabla hujafa unajiamulia unataka uzikwaje, Mimi kwangu ni moto tu
Tatizo hapo ni kwamba sisi tunafanya jambo ambalo wengine hawafanyi au kwamba kwa sababu hao wengine hawafanyi hivyo ndio inakuwa sio sahihi au ni ujinga sisi kufanya hilo jambo?Peleke mswaada wa kuomba tarehe 17 Mach iwe siku ya mapumziko. Naomba kufahamishwa hivi kuna taifa lolote dunia linapumzika siku ambayo amefariki sijui mwanzilishi wa taifa lao. Je Kenya kuna siku wanapumzika kuomboleza tarehe na mwezi aliokufa Kenyatta. Ama Waamerika nao wanafanya kama sisi. Naomba nijulishwe. Hapo kwenye kaburi ni nani huyo ambaye amepiga magoti? Yaani waafrika tuna mbongo za kijinga sana baadhi yetu.
Pigia mstari kauli yako ya mwishoTatizo hapo ni kwamba sisi tunafanya jambo ambalo wengine hawafanyi au kwamba kwa sababu hao wengine hawafanyi hivyo ndio inakuwa sio sahihi au ni ujinga sisi kufanya hilo jambo?
Wosia wa Mengi unatekelezwa na nani?Nani sasa watatekeleza huo wasio?
Point yangu ni kwamba watu tuna imani, sheria na tamaduni zetu mbalimbali na hizo ndio hutumika kuongozea mambo yetu mbalimbali. Wasia wa Mengi unashughulikiwa kisheria sasa sijui wewe kutaka kuchomwa moto ni akina nani watakubali kutekeleza jambo hilo ikiwa ni tofauti na imani yake na tamaduni zake ghafla aanze tu kuchoma moto maiti.Wosia wa Mengi unatekelezwa na nani?
Sasa wao ni nani hadi kwamba et kitu wasichofanya wao na wengine wasifanye kwamba wakifanya inakuwa ujinga?Pigia mstari kauli yako ya mwisho
Ila matatizo ya msingi bado yapo tu hivyo unatakiwa uendelee kuomba.Nachomshukuru mungu kafariki
Ndiyo maana nikasema "ningependa iwe hivyo"Point yangu ni kwamba watu tuna imani, sheria na tamaduni zetu mbalimbali na hizo ndio hutumika kuongozea mambo yetu mbalimbali. Wasia wa Mengi unashughulikiwa kisheria sasa sijui wewe kutaka kuchomwa moto ni akina nani watakubali kutekeleza jambo hilo ikiwa ni tofauti na imani yake na tamaduni zake ghafla aanze tu kuchoma moto maiti.
Utapambanaje na huku umeshika kwenye makali?Asante kwa kumsitiri vyema shujaa wetu,ingawa alikuwa na mapungufu yake Ila Mimi wiki hii nimeanza kumuona alikuwa Ni shujaa, toka nipate tetesi eti tunatafuta wawekezaji waje tuizike TANESCO na wakati huohuo Nyerere Dam inaanza kutapika umeme mwakani kwa gharama zetu halafu waje watu kuvuna tu!
Nilikuwa natarajia kuanza kupika kwa jiko la umeme na tayari nimeshanunua na pasi na mengineyo kwa kujidai Kama alivyo tuahidi mwendazake kuwa atatupatia umeme kwa Bei nafuu tuachane na mkaa.
Halafu mnakuja na mbwembwe ati mnataka watu Kati madalali Kweli?
Nimem miss Sana huyo mzee alale kwa amani namuahidi tutapambana nao.
Wakubali kupakwa masizi kwa mafuta maana kuoga kwake kazi Kama kuchimba mawe kwa umambo.Utapambanaje na huku umeshika kwenye makali?
Wewe lofa na Lissu wa Amsterdam hamtakufa .....umefurahi siyo? Hongera zenu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu maybe upo sahihi kwa mtazamo wako!!! Lakini nataka nikwambie kuwa kiongozi mkuu kwenye nchi sio mchezo jamaa angu.... Yani kuna maamuzi unalazimika kuchukua kwa maslai ya taifa!!! Nikuulize ilikuwa ni sahihi lissu kutetea wazungu kwenye wizi wa madini??? Na kama wewe ungekuwa ni raisi ungefanyaje?? Note sihalalishi kuuwa lakini pia hakuna anaejua lissu ni nani muhusika mpaka now.... Ni kama mama saizi na issue ya mbowe unafikiri angefanyaje??? Au ungekuwa wewe ungefanyaje mkuu?Lazima nitakufa kwa mipango ya Mungu ila sio kama hilo li gaidi limarehemu lenu lilivotaka kumuua lisu .
Mungu akaamua kuliua lenyewe kwanza.
Namuomba Mwenyezi Mungu aendelee kulichoma moto huko jehanamu lilipo milele