Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
- Thread starter
-
- #221
Nimekuambia sibahatishi katika maandiko yangu. Hivyo vitabu na Waraka feki ninazijua vizuri. Wewe huna haja ya kuijua KWELI, isipokuwa haja yako ni "mabishano" yasiyokuwa na maana. Biblia inasema ukiona mtu hataki kusikiliza, mkatae; na mimi nakukataa kama Biblia inavyonifundisha.Waweza niorodhoshea japo 10 kati ya hivyo vingi...??
Ahsanta
Hili ulilosema wanafundisha hivo nipe ulipolitoa kuthibitisha wanafundisha hivyo maana mafundisho ya wakayoliki yameandikwa hayatoki vichwani mwa MTU km mnavyofanyiwa na wachungaji wenu,anachoamua yy kufundisha ndo hichoKila kitu wanachofundisha Wakatoliki ambacho ni cha UWONGO nilishaandika humu. Ni mambo mengi sana, lakini kwa faida ya wengi nitaandika "uzi" kamili unaoonesha uwongo wote wa Kanisa Katoliki. Tega sikio mkuu na siku nikiandika nitaku-tag ili uwe wa kwanza kusoma. Wala usiwe na haraka, nitakuandikia kila kitu.
Kwa hyo biblia inasema wakatoliki wanasema Petro alikufa Roma?Biblia inatosha kuwa ushahidi kwako mkuu. Soma Biblia yako uone kama Petro aliwahi kufika Roma.
Usipoamini katika jambo kubwa, hata lililodogo pia huwezi kuamini.
Biblia Yenyewe ni Mapokeo mpendwa..linafundisha injili ya mapokeo ya wanadamu na kuiacha INJILI ya KWELI.
Mpendwa! Unajua kuna kiporo cha maswali hujanijibu......???Mimi nayafahamu mafundisho ya Kikatoliki ndiyo maana ninaweza kusimama na kusema kuwa kanisa hili linafundisha UWONGO, sababu ile KWELI mimi naijua.
Mpendwa sasa kama unajua na hubaatishi unaona ugumu gani kuweka mbivu na mbichi hapa ili tujengee hoja madai yako...??Hivyo vitabu na Waraka feki ninazijua vizuri. Wewe huna haja ya kuijua KWELI, isipokuwa haja yako ni "mabishano"
Jisikie huru....Siku chache zijazo nitaorodhesha humu JF uchafu na uwongo wote wa kanisa katoliki
Mkuu kwani huu si mjadala...??? Mbona unaogopa kufanya mjadala na mimi..Biblia inasema ukiona mtu hataki kusikiliza, mkatae; na mimi nakukataa kama Biblia inavyonifundisha.
Unaogopa maswali....??? Wewe si umesema ubahatishi...wewe unatafuta "mabishano".
Ukumbuke kini-tag..Siku chache zijazo nitaorodhesha humu JF
The Law, the Psalms and the Prophets. Kuwa intellectually and spiritually humble you have a lot to learn. May be Unajinasibu na Ukatoliki kwasababu Kanisa hilo limekua in power hapa TZ since uhuru. Je akitokea Rais akawa anawatesa wakatoliki, je utaendelea kuwa mkatoliki. Nimeshuhudia baadhi ya wakatoliki wakibadili dini na kuwa waislamu kipindi kukiwa na rais muislamu. Nahiyo ni 10 years only. Je wakikaa miaka 20 au 40, na ukapoteza cheo, biashara, viwanja, je utaendelea kuwa mkatoliki. Au ni mkatoliki when the times are good?Yesu alikuta Biblia gani...????
Yesu mpaka ana kufa hakuwai kuiona wala kuijua Biblia
Wewe unaweza thibitisha kwa kutumia maandiko mkuu?Kama unaweza kanusha hayo niliyoandika kwa historia ama kwa kutumia hiyo hiyo biblia na kukaribisha...Usiondoke.....Kusema Pepo hakubadilishi ukweli kuwa uongo
Ahsanta..
Havikuitwa Biblia..The Law, the Psalms and the Prophets. Kuwa intellectually and spiritually humbl
Usinilishe maneno bana........May be Unajinasibu na Ukatoliki kwasababu Kanisa hilo limekua in power hapa TZ since uhuru
Unaweza pata review na ukaangalia hali halisi... Democratic Republic of CongoJe akitokea Rais akawa anawatesa wakatoliki, je utaendelea kuwa mkatoliki.
Sio maandiko pekee hata historia....mbona kila kitu kipo wazi..Wewe unaweza thibitisha kwa kutumia maandiko mkuu?
Barikiwa sana sanaNimekuambia sibahatishi katika maandiko yangu. Hivyo vitabu na Waraka feki ninazijua vizuri. Wewe huna haja ya kuijua KWELI, isipokuwa haja yako ni "mabishano" yasiyokuwa na maana. Biblia inasema ukiona mtu hataki kusikiliza, mkatae; na mimi nakukataa kama Biblia inavyonifundisha.
Siku chache zijazo nitaorodhesha humu JF uchafu na uwongo wote wa kanisa katoliki. Pia nitaviorodhesha hivyo vitabu na waraka feki unaotumiwa na kanisa hilo kwa faida ya wale tu wanotaka kuijua "KWELI". Wewe hutaki kuijua KWELI, wewe unatafuta "mabishano".
Unaweza msaidia kijibu maswali niliyomuuliza..maana naona anayakimbiaBarikiwa sana sana