Kaburi la Petro(Simoni bar-yona) lipo Jerusalem na siyo Roma

Kaburi la Petro(Simoni bar-yona) lipo Jerusalem na siyo Roma

Waweza niorodhoshea japo 10 kati ya hivyo vingi...??



Ahsanta
Nimekuambia sibahatishi katika maandiko yangu. Hivyo vitabu na Waraka feki ninazijua vizuri. Wewe huna haja ya kuijua KWELI, isipokuwa haja yako ni "mabishano" yasiyokuwa na maana. Biblia inasema ukiona mtu hataki kusikiliza, mkatae; na mimi nakukataa kama Biblia inavyonifundisha.

Siku chache zijazo nitaorodhesha humu JF uchafu na uwongo wote wa kanisa katoliki. Pia nitaviorodhesha hivyo vitabu na waraka feki unaotumiwa na kanisa hilo kwa faida ya wale tu wanotaka kuijua "KWELI". Wewe hutaki kuijua KWELI, wewe unatafuta "mabishano".
 
Kila kitu wanachofundisha Wakatoliki ambacho ni cha UWONGO nilishaandika humu. Ni mambo mengi sana, lakini kwa faida ya wengi nitaandika "uzi" kamili unaoonesha uwongo wote wa Kanisa Katoliki. Tega sikio mkuu na siku nikiandika nitaku-tag ili uwe wa kwanza kusoma. Wala usiwe na haraka, nitakuandikia kila kitu.
Hili ulilosema wanafundisha hivo nipe ulipolitoa kuthibitisha wanafundisha hivyo maana mafundisho ya wakayoliki yameandikwa hayatoki vichwani mwa MTU km mnavyofanyiwa na wachungaji wenu,anachoamua yy kufundisha ndo hicho
 
Biblia inatosha kuwa ushahidi kwako mkuu. Soma Biblia yako uone kama Petro aliwahi kufika Roma.
Usipoamini katika jambo kubwa, hata lililodogo pia huwezi kuamini.
Kwa hyo biblia inasema wakatoliki wanasema Petro alikufa Roma?
 
linafundisha injili ya mapokeo ya wanadamu na kuiacha INJILI ya KWELI.
Biblia Yenyewe ni Mapokeo mpendwa..


Msome St. Paul hapa..

2 Wathesalonike 2:15
Basi, ndugu, simameni imara, mkayashike mapokeo mliyofundishwa, ama kwa maneno, ama kwa waraka wetu.


Ahsanta....
 
Mimi nayafahamu mafundisho ya Kikatoliki ndiyo maana ninaweza kusimama na kusema kuwa kanisa hili linafundisha UWONGO, sababu ile KWELI mimi naijua.
Mpendwa! Unajua kuna kiporo cha maswali hujanijibu......???


Ahsantaa
 
Hivyo vitabu na Waraka feki ninazijua vizuri. Wewe huna haja ya kuijua KWELI, isipokuwa haja yako ni "mabishano"
Mpendwa sasa kama unajua na hubaatishi unaona ugumu gani kuweka mbivu na mbichi hapa ili tujengee hoja madai yako...??


Usiandike ukiwa na mihemko bana....Relaaaaax



Ahsanta
 
Biblia inasema ukiona mtu hataki kusikiliza, mkatae; na mimi nakukataa kama Biblia inavyonifundisha.
Mkuu kwani huu si mjadala...??? Mbona unaogopa kufanya mjadala na mimi..



Woooo!!! Hebu nioneshe hilo fungu kwenye biblia linalosema hivyo..


Ahsanta
 
Yesu alikuta Biblia gani...????

Yesu mpaka ana kufa hakuwai kuiona wala kuijua Biblia
The Law, the Psalms and the Prophets. Kuwa intellectually and spiritually humble you have a lot to learn. May be Unajinasibu na Ukatoliki kwasababu Kanisa hilo limekua in power hapa TZ since uhuru. Je akitokea Rais akawa anawatesa wakatoliki, je utaendelea kuwa mkatoliki. Nimeshuhudia baadhi ya wakatoliki wakibadili dini na kuwa waislamu kipindi kukiwa na rais muislamu. Nahiyo ni 10 years only. Je wakikaa miaka 20 au 40, na ukapoteza cheo, biashara, viwanja, je utaendelea kuwa mkatoliki. Au ni mkatoliki when the times are good?
 
Kama unaweza kanusha hayo niliyoandika kwa historia ama kwa kutumia hiyo hiyo biblia na kukaribisha...Usiondoke.....Kusema Pepo hakubadilishi ukweli kuwa uongo


Ahsanta..
Wewe unaweza thibitisha kwa kutumia maandiko mkuu?
 
The Law, the Psalms and the Prophets. Kuwa intellectually and spiritually humbl
Havikuitwa Biblia..

Na vitabu vya wayahudi havikupangwa kwenye canon hii unayoiona....vilikuwa scattered mpendwa..


Kanisa Katoliki chini ya Patron Saints of all Librarian St. Jerome ndio walifanikisha kupanga vitabu vya Biblia tkt Canon na pia kuzipa Verse vitabu na nyaraka


Ahsanta
 
May be Unajinasibu na Ukatoliki kwasababu Kanisa hilo limekua in power hapa TZ since uhuru
Usinilishe maneno bana........

Hapa hatuko kuomba huruma kwa kukosa hoja.....Mada ipo mezani pangua mada....tumia historia na maandiko....
 
Nimekuambia sibahatishi katika maandiko yangu. Hivyo vitabu na Waraka feki ninazijua vizuri. Wewe huna haja ya kuijua KWELI, isipokuwa haja yako ni "mabishano" yasiyokuwa na maana. Biblia inasema ukiona mtu hataki kusikiliza, mkatae; na mimi nakukataa kama Biblia inavyonifundisha.

Siku chache zijazo nitaorodhesha humu JF uchafu na uwongo wote wa kanisa katoliki. Pia nitaviorodhesha hivyo vitabu na waraka feki unaotumiwa na kanisa hilo kwa faida ya wale tu wanotaka kuijua "KWELI". Wewe hutaki kuijua KWELI, wewe unatafuta "mabishano".
Barikiwa sana sana
 
Uneenda mbele na kurudi nyuma lkn mwisho umeonesha kuwa historia ya dini zote imeanzai Roman Catholic.
 
Back
Top Bottom