Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
- Thread starter
- #221
Nimekuambia sibahatishi katika maandiko yangu. Hivyo vitabu na Waraka feki ninazijua vizuri. Wewe huna haja ya kuijua KWELI, isipokuwa haja yako ni "mabishano" yasiyokuwa na maana. Biblia inasema ukiona mtu hataki kusikiliza, mkatae; na mimi nakukataa kama Biblia inavyonifundisha.Waweza niorodhoshea japo 10 kati ya hivyo vingi...??
Ahsanta
Siku chache zijazo nitaorodhesha humu JF uchafu na uwongo wote wa kanisa katoliki. Pia nitaviorodhesha hivyo vitabu na waraka feki unaotumiwa na kanisa hilo kwa faida ya wale tu wanotaka kuijua "KWELI". Wewe hutaki kuijua KWELI, wewe unatafuta "mabishano".