Kaburi la Petro(Simoni bar-yona) lipo Jerusalem na siyo Roma

Unajua kukwepa swali vzr, hongera Egw
 


Wakina muhadhiri buuana!!!
 
Maneno yako mazuri hongera kwa kujitajid kutafuta ushahid lakin lip Paulo aandike ni maamuz ya anaemtuma(Mungu) pili ucwazungumzie wakatorik au wengine wowote tupe elimu tufanye uamuz bila kujua nan ni nan chin ya jua
 
Wasabatho kuleni kitimoto mpate akili, alitushindwa Bibi yenu Ellen nyie wajukuu kuleni makande kwenye makambi yenu
 
Jibu swali uliloulizwa sio unapalamia vitu vingine
 
Mpaka 2018 ikiisha wasabato watakuwa wanachangia uzi wa kupeana likes na wamwisho ndo mshindi
 
Ubarikiwe Nimesoma Na Kuchunguza Nikagundua Kuna Ukwel % 100 Ila Kuna Watakao Kuja Kupinga Bila Hoja Watakuja Na Sera Kwamba Nyie Mnajifanya Watakatifu Wengine Watasema Biblia Imekataza Kuhukumu Wakifikili Apa Umehukumu Kila Mtu Ataleta Lake.
Ni ushahidi upi ambao wewe umeku convince mpaka ukaamini mada hii? Je ukiitwa urudie kuzungumza yaliyoandikwa hapo, utaweza?
 
Mkuu hili Kanisa Katoliki linafundisha uwongo sana. Hakuna ushahidi wowote hata wa kihistoria tu unao onesha kuwa Mtume Petro aliwahi kuishi Roma. Hakika kabisa Kanisa hili ni adui namba moja wa UKRISTO duniani.
Wewe unaamini katika nini?, na ni dini/dhehebu gani linalofundisha ukweli kuhusu Kristo?
 
Wewe unaamini katika nini?, na ni dini/dhehebu gani linalofundisha ukweli kuhusu Kristo?
Mimi naamini katika amri za MUNGU na imani ya YESU KRISTO. Mafundisho yangu nayapata kwa kusoma Biblia. Sina dhehebu lolote sababu madhehebu niliyojaribu kuyachunguza wanafundisha kinyume na "maandiko" na mimi sitaki kukwazika kwa kwenda kwenye ibada zao.

Mkuu Chagga King ukitaka kujua YESU alifundisha nini chukua BIBLIA yako na usome; MATHAYO kuanzia aya ya 5 mpaka aya ya 7. Hapo utaona mambo yote ambayo Mkristo anatakiwa kufanya ili aweze kuurithi uzima wa milele. Kwenda kanisani hakuwezi kamwe kukuokoa, ili uokolewe unatakiwa kuyasikia maneno ya BWANA YESU na kuyafanya kwa vitendo.

Tena unapaswa kutenga siku moja nzima ambayo utakuwa unaitumia kujisomea Biblia yako ili kuongeza ujuzi wa NENO la MUNGU. Mimi binafsi nimeitenga siku ya Jumamosi kama siku ya kusoma Biblia tu na kujifunza NENO la MUNGU. Siku hii sifanyi kazi yoyote ile.
 
Kwa nini jumamosi?


 
Hivi chuki ya wasabato kwa wakatoriki chanzo chake ni nini? Maana historia inaeleza madhehebu mengi yametokana na ukatoriki, lakini huwezi mkuta msabato akikosoa warutheri.
Ni chuki ya kurithi,baba zao(mafarisayo) walimzushia Yesu uzushi km huu,
Watoto(wasabato)wanalitukana katoliki kuendeleza ile vita waloshindwa baba zao,ni jambo la kurithi,ile roho ya chuki juu ya Yesu haikuisha bado IPO,
Jiulize jambo km hauamini ni ile roho ya uasi ya baba zao,
Hivi kwao haiwezekani ama haimpendezi Mungu wao kumtumikia kwa kushika wanachoagizwa na dhehebu lao,wanacho amini wao bila kumtukana mkatoliki?
Na kwa nn mkatoliki tu?
Inamaana mapenzi yao kwa Mungu wao hayakamiliki bila kumtukana mkatoliki?
Yaani kumpendeza Mungu wao huja kwa kumtukana mkatoliki na siyo kwa kutenda mema na kushika usabato wao?
Jiulize ujijibu
 
Hivyo vitabu viliandikwa kwa nia ya kupotosha UKWELI. Ndiyo maana viliposomwa havikukubaliwa kujumuishwa kwenye Biblia. Biblia haikujumuishwa na mtu mmoja tu, walikaa watu tofauti wakakubaliana kipi kiwemo na kipi kisiwemo ndani ya Biblia.
Siyo watu tu
Sema walikaa wasomi na watawa wakatoliki chini ya ROHO MTAKATIFU
Kuona la kujumuisha ni lipi,
Usilikwepeshe,hili,km wapo wngne nje ya hawa nikosoe
 
Kila kilichofanywa na mitume kiliandikwa ktk biblia?
 
Kaka una hasira balaa
Vipi tatizo nini?
Umekosa wa kujaza dhehebu jipya?
Naona unavyojitahidi kumsukuma KEFA
 
Anza kwanza kusoma histolia ya hiyo biblia unayosema unaiamini uone kama haikutoka mkononi mwa dini(ukatoliki)
Unayosema haunakisha jipime wewe ni mjinga ama la!!
 
Soma barua za Paolo ujifunze kuhusu siku,miandamo ya mwezi nk
Halafu ujue upotofu juu ya unachodhani unajiamini,
Ukichukia ukatoliki na kuuhusisha na uoagani,basi kataa na biblia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…