Kada maarufu wa CHADEMA amuita Mbowe kibaka mbele ya kadamnasi

Mbowe kahongwa pesa na mama yake Abdul.

Lissu alisema haongeki kama wengine wanaoongwa. Ulielewa?
Kwani huyo unafikiri hajafunza kuwa kufanya hivyo ni vibaya,sasa mbona una msingizia au alikuletea wewe πŸ€”
 
Kwani huyo unafikiri hajafunza kuwa kufanya hivyo ni vibaya,sasa mbona una msingizia au alikuletea wewe πŸ€”
Kamanda umepagawa kusikia ukweli kuhusu Mbowe?
Kuna wenzio pia walikuwa kwenye denial kama wewe mwisho wakakubali mwenyekiti ni kibaka
 
Kamanda umepagawa kusikia ukweli kuhusu Mbowe?
Kuna wenzio pia walikuwa kwenye denial kama wewe mwisho wakakubali mwenyekiti ni kibaka
Ndio kwakuwa mimi sii miongoni mwao Chademaphobia
 
Mataga wanawashwa sana bila kumtaja Mbowe na CHADEMA.
Shida ni kitu gani?
 
yu
yule upendo PENEZA ALISHAMALIZA KAZI YAKE
 
Mataga wanawashwa sana bila kumtaja Mbowe na CHADEMA.
Shida ni kitu gani?
Mbowe ni mla rushwa wanaosema hivyo sio CCM ni Chadema wenzie waliomuamini 100% so una hiyari ya kuukubali ukweli au kuishi kwenye denial.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…