The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Mbona pesa zake mnachukua.
Sio kumng'oa mla rushwa mbowe? Kwa hiyo tunamtoa Mama Abdul tunamuweka Mbowe? 😂😂
johnthebaptist njoo utie neno.Huyo hapo ndiye Amos Makalla?
Lazima kila mwizi na mla rushwa ashughulikiwe bila kujali nyama vyao
Hao wanaosema hivyo tayari wana kibunda kwenye nguo za ndani za kuwapumbaza akili.Mbowe ni mla rushwa wanaosema hivyo sio CCM ni Chadema wenzie waliomuamini 100% so una hiyari ya kuukubali ukweli au kuishi kwenye denial.
atakuwa kamezeshwa smart ginView attachment 3013685
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.
Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul.
Ashangaa kwa nini kila siku watu wakitaka kusema uovu unaoendelea Chadema wanaambiwa wakae kimya watakigawa chama!!
Amewapiga mkwara aliowaita machawa wa Mbowe kuwa wasijaribu kuendelea kumchokoza ataanika kila kitu kuhusu Mbowe.
Siyo sahihi kabisa kumvunjia Heshima Freeman kwa kiwango hikijohnthebaptist njoo utie neno.
Sawa tumesikiaView attachment 3013685
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.
Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul.
Ashangaa kwa nini kila siku watu wakitaka kusema uovu unaoendelea Chadema wanaambiwa wakae kimya watakigawa chama!!
Amewapiga mkwara aliowaita machawa wa Mbowe kuwa wasijaribu kuendelea kumchokoza ataanika kila kitu kuhusu Mbowe.
Dogo hii project yenu ya kutengeneza migogoro cdm haiwezi kufanikiwaView attachment 3013685
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.
Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul.
Ashangaa kwa nini kila siku watu wakitaka kusema uovu unaoendelea Chadema wanaambiwa wakae kimya watakigawa chama!!
Amewapiga mkwara aliowaita machawa wa Mbowe kuwa wasijaribu kuendelea kumchokoza ataanika kila kitu kuhusu Mbowe.
Dogo acha upumbavu tunajadili matendo ya viongozi yanayotuathiri wote bila kujali itikadiMbowe kauza nyumbu
Ukweli mchungu. Ukiwauliza watu kuhusu hili, majibu yanakuwa yana fanana fanana, Mbowe ni kibaka kibaka hivi, mwenye tabia za ku bully bully.Ehheeeee!!!!
Nakwambia hiv, kiukwel wenye akil tuliokua tunamuheshimu Mbowe kwa kuijemga chadema na kuibua vipaji vya vijana, sasa hiv heshima inashuka kila siku. Kwakifupi tumeshamshtukia, sema ndio vile tena mkono uliokulea, shart usiukate ila tutausafisha kwa nguvu atake asitake.. mbowe kageuka agent typicallyUkweli mchungu. Ukiwauliza watu kuhusu hili, majibu yanakuwa yana fanana fanana, Mbowe ni kibaka kibaka hivi, mwenye tabia za ku bully bully.
Waulizeni ma borntown na wapiga dili za mjini wa miaka ya 80-90++ watakuambia hayo hayo.
Live Mbowe alone brother, kama vipi anzisha chama chako utuonyeshe njia, Wanaume wanapambana wewe unabwabwaja kama mwanamke wa bar..View attachment 3013685