Kada maarufu wa CHADEMA amuita Mbowe kibaka mbele ya kadamnasi

Live Mbowe alone brother, kama vipi anzisha chama chako utuonyeshe njia, Wanaume wanapambana wewe unabwabwaja kama mwanamke wa bar..
Sijaelewa, una maana chadema ni chama cha mbowe
 
Watu wengi hawamjui Mbowe sana.
Enzi hizo walikuwepo ma Elite na Mbowe alikuwa mmoja wa Ma Elite hao. Unajua tena, mtoto wa Tajiri.

Mambo yalibadilika ghafla wakati Mzee Mwendazake Mwinyi kuingia, na baadae wakati Kikwete kuingia. Yaani madili dili yakawa yanapotea. Afueni ikawa enzi za Ben lakini, unajua tena, kutesa kwa zamu

Nitaachia hapo, ila kwa kifupi, Mbowe anapenda power na ni neno lake maarufu kinywani mwake, pamoja na kuwa na Hela, mtoto wa Tajiri na heshima nyingine zinazokuja nazo, Mbowe hakuwa na 'POWER'...... ameipata CHADEMA. Haitoshi.

Waulizeni maborntown.
 

Chama kime savai kote huko its a shame kufia awamu hii kwa tajir “mtata”mbowe [emoji23]
 
"Baba Dudley ni mwizi kibaka " Abiud

..hivi kwa akili zako unadhani Maza'ake Abduli anatoa wapi hela za kumhonga Baba'ake Dudley?

..sio kwamba kuna wanaomhonga Maza, halafu na yeye anakuja kuhonga wapinzani wake?
 
Hawa ni chadema au ccm?
Hao ni CCM. Wanashindwa kushughulika na ma RC wanaowalawiti mnapambana na Mbowe ambaye hawahusu na wanaohusiana naye wanamkubali.
Shughulikeni na hao wanaolawiti watu. Tabia hiyo inajengeka sasa, wameanza RC's utasikia na DC's , mawaziri , Wabunge wenyeviti CCM nk wakiwa wanawalawiti wanaccm kwa vile wanaendekeza uchawa na kujipendekeza.
Poleni CCM vumilieni mtazoea tuu kama mlivyozoea mengine.
 

Attachments

  • 20240611_075312.jpg
    149.8 KB · Views: 3
Kimeumana
 
Aliekwambi pallangyo ni chadema nani alafu umfaham vizuri huyu anaijuaga mwenyewe
 
Nitawashangaa Mods wasipofuta nyuzi hii
 
Wasijaribu kuendelea Kumchokaza tena kumbe bifu zake binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…