Kuzungumza mambo yasiyotekelezeka wala kufanyiwa kazi ni kujichosha tu.
Id yako umeikana kwa bei chee kabisa.Kuzungumza mambo yasiyotekelezeka wala kufanyiwa kazi ni kujichosha tu.
Ukidhani wenzako wanatania, wakikufuma wanakumaliza kweli.
Bora kujinyamazia. Najua inaumiza, lakini kama huwezi kubadili lolote jifanye mjinga uishi.
Mdude alisema hivi, hivi, wenzake wakapita naye, yamebaki makelele tu.
Saa100Hivi huyu asiyeujua kupiga mswaki ni nani, mbona anafanana sana na mheshimiwa mmoja anayemetokea 'kanda ya ziwa', ni yeye?
Maana picha hii imetrendishwa sana kinyama na walami!
Hiyo picha ya kiume waliyoattach kwenye comment #4.Saa100
Lakini waliopambana kama Ndugu yetu Nyagali Mdude waliuwawa au nimetunga mkuu.Id yako umeikana kwa bei cheese kabisa.
Jamaa wa Shy
Tutengeneze kijiji cha kijani
Lakini waliopambana kama Ndugu yetu Nyagali Mdude waliuwawa au nimetunga mkuu.
Hoja yangu ni kuwa,, hii Nchi ukijipiga kifua na kudai siogopi njooni, haiwazuii wauaji kukufuata na kukuuwa watakuja na watakuua kama wote walĂvyouwawa.
Wazo langu ni kutumia njia tofauti lakini sio kujigamba. Tulipofikia kujigamba ni kujianika, na wao wanatafuta yeyote anayejigamba wapite naye.
Kwenye kundi la wanaonewa 100 huwa kuna mmoja atanyanyuka kupinga uoenevu.Kuzungumza mambo yasiyotekelezeka wala kufanyiwa kazi ni kujichosha tu.
Ukidhani wenzako wanatania, wakikufuma wanakumaliza kweli.
Bora kujinyamazia. Najua inaumiza, lakini kama huwezi kubadili lolote jifanye mjinga uishi.
Mdude alisema hivi, hivi, wenzake wakapita naye, yamebaki makelele tu.
Haupo sawa mkuu.Kuzungumza mambo yasiyotekelezeka wala kufanyiwa kazi ni kujichosha tu.