Kada wa CCM amwambia wazi rais Samia, haogopi kutekwa wala haogopi mtu

Kada wa CCM amwambia wazi rais Samia, haogopi kutekwa wala haogopi mtu

Alietekwa Mmoja akija Zimbabwe hao mtawaona bara barani au mkitaka wafe Zimbabwe damu zao hazimwagiki kifala waliouawa SA walioua wengi ni vichaa na wengine wamekufa..
Zimbabwe ni kiboko ya mauaji yasiyojulikana..
 
Huo ni uoga usiokuwa na maana yoyote. Kifo kipo, utake usitake. Hata usipouawa na majambazi wa fazafaka wa Kizimkazi hakuna guarantee kwamba utaishi. Mwaka jana, baadhi ya watu waliofanya kila wawezalo kutokujihusisha na maandamano ili wasiuawe bado walikufa kwasababu moja au nyingine. They died anyway!

Afadhali mtu afe kwenye mapambano ya kupigania haki kuliko kufa kihasarahasara!
"Fazafaka" hiyo kali.
Nadhani hii ni legacy ya Rachel Dangwa( Of Blessed Memory).
 
Kuzungumza mambo yasiyotekelezeka wala kufanyiwa kazi ni kujichosha tu.

Ukidhani wenzako wanatania, wakikufuma wanakumaliza kweli.

Bora kujinyamazia. Najua inaumiza, lakini kama huwezi kubadili lolote jifanye mjinga uishi.

Mdude alisema hivi, hivi, wenzake wakapita naye, yamebaki makelele tu.
Ila wakati mwingine.....#FREE MDUDE ilishapoa kabisa. Kumanisha biashara ya mdude hapa duniani kwisha.
 
Barack Obama aliweza kuwa Rais wa Marekani kwa sababu hakuwa descendant wa negro slave
Kwa sababu hakuwa mjukuu au kitukuu wa negro slave aliweza kuwa Rais wa Marekani.
Baba yake Obama alikuwa Nilo Hamite kutoka Kenya.
Kwa sababu angekuwa descendant of a slave DNA yake ingekuwa ya kitumwa. Na Wamarekani wasingeweza kumheshimu.

Hawa watu wa Unguja wanaojifikiria wao ni miungu,ambao wana hakika wao ni miungu,ambao wanafanya haya mambo ya ajabu,huu ukatili wa kutisha,wa kuchusha,sijui,hawa ni descendants of slaves. Babu zao wamanyema kutoka Kigoma.
Sasa kwa nini wanafanya mambo haya?
Nawasilisha.
 
Hao wanaojitokeza kupiga kabobo huwa nawaona wajinga tu.

Huogopi kufa si ndiyo? Jilipue basi mpira urudi kati tusikilizie zimwi litakalokuja.
 
Kwani unadhani mabwege kama wewe hawapo duniani kote; na bado hilo halizuii wazalendo kutafuta mabadilko ili wapuuzi kama wewe na nyinyi mfaidike.
Sawa mkuu unapambanaje kama unajua huwezi kushinda. Kutukana pekee na kujigamba ndiyo mbinu ?

Nani asiyeumizwa na mateso na ukandamizwaji wa Serikali yetu.
 
Hao wanaojitokeza kupiga kabobo huwa nawaona wajinga tu.

Huogopi kufa si ndiyo? Jilipue basi mpira urudi kati tusikilizie zimwi litakalokuja.
Kila aliye tayari kufa, Tanganyika hii asitafute sumu wala kamba ya kujinyonga.

Asimame ajirekodi, aseme ukweli kuwa hii Serikali ni ya kishetani, ni chinja, chinja, iliuwa 29/10/2025 inateka na kuuwa mmoja mmoja.

Baada ya muda waliopanga watakufikia na orodha ya mauaji inapanda na kuongezeka.

Ndipo nikadhani mbinu mbadala inahitajika, sio kujilipua na mashujaa wanaisha kizembe.

Bora nyamaza uishi.

Kwenye mtihani ukiishiwa majibu unarudisha karatasi tupu na maisha yanaendelea.
 
Kuzungumza mambo yasiyotekelezeka wala kufanyiwa kazi ni kujichosha tu.

Ukidhani wenzako wanatania, wakikufuma wanakumaliza kweli.

Bora kujinyamazia. Najua inaumiza, lakini kama huwezi kubadili lolote jifanye mjinga uishi.

Mdude alisema hivi, hivi, wenzake wakapita naye, yamebaki makelele tu.
Lazima wawepo watu wasioogopa hata south Africa ilikuwa zaidi ya huu,Kina Stephen Biko,walipotea, Mandela alikaa 27years in prison Leo hii kizazi chake kinakula mema,ila uoga wako na uheshimiwe!
 
Lazima wawepo watu wasioogopa hata south Africa ilikuwa zaidi ya huu,Kina Stephen Biko,walipotea, Mandela alikaa 27years in prison Leo hii kizazi chake kinakula mema,ila uoga wako na uheshimiwe!
Good point.
 
Huyo siyo kada wa Ccm bali Hilo ni jitu lenye wivu na udini, makada wa kweli haswa wa CCM wako kizimkazi wakifurahia tamasha la kizimkazi mwaka huu wenye wivu watahara sana
 
Back
Top Bottom