Kada wa CCM amwambia wazi rais Samia, haogopi kutekwa wala haogopi mtu

Kada wa CCM amwambia wazi rais Samia, haogopi kutekwa wala haogopi mtu

Kuzungumza mambo yasiyotekelezeka wala kufanyiwa kazi ni kujichosha tu.

Ukidhani wenzako wanatania, wakikufuma wanakumaliza kweli.

Bora kujinyamazia. Najua inaumiza, lakini kama huwezi kubadili lolote jifanye mjinga uishi.

Mdude alisema hivi, hivi, wenzake wakapita naye, yamebaki makelele tu.
Achana na mdude kuna mwingine yeye alikuwa anamwogopa Mungu wa mbinguni lkn leo ziiii!!
 
Kuna ujumbe mzito huku
1786653183875.jpeg
 
Lakini waliopambana kama Ndugu yetu Nyagali Mdude waliuwawa au nimetunga mkuu.

Hoja yangu ni kuwa,, hii Nchi ukijipiga kifua na kudai siogopi njooni, haiwazuii wauaji kukufuata na kukuuwa watakuja na watakuua kama wote walĂ­vyouwawa.

Wazo langu ni kutumia njia tofauti lakini sio kujigamba. Tulipofikia kujigamba ni kujianika, na wao wanatafuta yeyote anayejigamba wapite naye.
Kila mtu atakufa. Ni heri ufe ukipambania jambo jema kulikoni kufa kibudu
 
Leo ilikuwa niende Kizimkazi.
Lakini Kizimkazi wakaamua hawataki tena niende.
Kizimkazi wakaghairi .

Yeah,huyu jamaa sijui anasema nini.
Kwa kweli pale ilitumika terror tactics. Kuwatisha kada wote wa CCM kwa kufanya huu ukatili mkubwa.

Yule kada alikuwa anasema Mbunge wa Zanzibar amemsema vibaya Nchimbi.
Kwa hiyo Wabara tutasubiri mpaka Muunguja atakapokuwa Makamu wa Rais na sisi tutamsema vibaya.

Hii projection ya ugomvi into the future naona ndiyo imeleta matatizo.

Kwa hiyo kada analalamika. Huu ni ukatili mkubwa sana,kada anasema. Samia has gone too far.

Mimi sina maoni.
Mimi sina maoni.
Kifupi Muungano ni msingi wa migogoro endelevu.
Kizimkazi kuchelee... Same playbook. Hata JPM alijenga TRA kwao.
 
Kuzungumza mambo yasiyotekelezeka wala kufanyiwa kazi ni kujichosha tu.

Ukidhani wenzako wanatania, wakikufuma wanakumaliza kweli.

Bora kujinyamazia. Najua inaumiza, lakini kama huwezi kubadili lolote jifanye mjinga uishi.

Mdude alisema hivi, hivi, wenzake wakapita naye, yamebaki makelele tu.
Kwenye kila ulifanyalo lazima utalipia, waliofanya kwa mdude au kwa wengine waambie kabla hawajaondoka duniani lazima wafunge mahesabu.
 
Kuzungumza mambo yasiyotekelezeka wala kufanyiwa kazi ni kujichosha tu.

Ukidhani wenzako wanatania, wakikufuma wanakumaliza kweli.

Bora kujinyamazia. Najua inaumiza, lakini kama huwezi kubadili lolote jifanye mjinga uishi.

Mdude alisema hivi, hivi, wenzake wakapita naye, yamebaki makelele tu.
Huo ni uoga usiokuwa na maana yoyote. Kifo kipo, utake usitake. Hata usipouawa na majambazi wa fazafaka wa Kizimkazi hakuna guarantee kwamba utaishi. Mwaka jana, baadhi ya watu waliofanya kila wawezalo kutokujihusisha na maandamano ili wasiuawe bado walikufa kwasababu moja au nyingine. They died anyway!

Afadhali mtu afe kwenye mapambano ya kupigania haki kuliko kufa kihasarahasara!
 
Kuzungumza mambo yasiyotekelezeka wala kufanyiwa kazi ni kujichosha tu.

Ukidhani wenzako wanatania, wakikufuma wanakumaliza kweli.

Bora kujinyamazia. Najua inaumiza, lakini kama huwezi kubadili lolote jifanye mjinga uishi.

Mdude alisema hivi, hivi, wenzake wakapita naye, yamebaki makelele tu.
Kwani unadhani mabwege kama wewe hawapo duniani kote; na bado hilo halizuii wazalendo kutafuta mabadilko ili wapuuzi kama wewe na nyinyi mfaidike.
 
Back
Top Bottom