Kada wa CCM amwambia wazi rais Samia, haogopi kutekwa wala haogopi mtu

Achana na mdude kuna mwingine yeye alikuwa anamwogopa Mungu wa mbinguni lkn leo ziiii!!
 
Kila mtu atakufa. Ni heri ufe ukipambania jambo jema kulikoni kufa kibudu
 
Kifupi Muungano ni msingi wa migogoro endelevu.
Kizimkazi kuchelee... Same playbook. Hata JPM alijenga TRA kwao.
 
Kwenye kila ulifanyalo lazima utalipia, waliofanya kwa mdude au kwa wengine waambie kabla hawajaondoka duniani lazima wafunge mahesabu.
 
Huo ni uoga usiokuwa na maana yoyote. Kifo kipo, utake usitake. Hata usipouawa na majambazi wa fazafaka wa Kizimkazi hakuna guarantee kwamba utaishi. Mwaka jana, baadhi ya watu waliofanya kila wawezalo kutokujihusisha na maandamano ili wasiuawe bado walikufa kwasababu moja au nyingine. They died anyway!

Afadhali mtu afe kwenye mapambano ya kupigania haki kuliko kufa kihasarahasara!
 
Kwani unadhani mabwege kama wewe hawapo duniani kote; na bado hilo halizuii wazalendo kutafuta mabadilko ili wapuuzi kama wewe na nyinyi mfaidike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…