Kada wa CCM amwambia wazi rais Samia, haogopi kutekwa wala haogopi mtu

Badili jina, usijiite mkweli
 
Pathetic fool...unamtia nani uoga..?
 
Kazungu katoa namba ya simu
0757 352 893
KAZUNGU KABARI BAKARI
Kwa yeyote ambaye anataka kumsaidia.
Please note sijaandika " Kwa yule ambaye roho yake inamtuma amsaidie"
Kwa sababu watawala hawapendi kusikia kwamba raia ana roho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…