Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili

Ex Spy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2007
Posts
346
Reaction score
2,968
Duu CCM pale huwa kuna magenge ya utekaji ushirikiana na Polisi pamoja na Usalama wa Taifa.

Kuna vijana wa greenguard huwa wanajifanya usalama wa Taifa ,wakienda polisi kuomba msaada hupewa kwa maelekezo ya hawa Ma DC , DSO na OCD Hutoa ushirikiano wa kwenda kuteka.

Wanaita jeshi kunoga

Yaaani CCM wana uwezo wa kutoa maelekezo kwa akina Mrilo mtu flani CHAMA kimesema atekwe na apotezwe na mipango ikapangika.

CCM atatoka madarakani sio kwa kura ni kwa mtutu wa bunduki.
 
Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu.

Video hii imekatwa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake
ok.
na hapo nyuma anadai walimfanyaje?🐒
 
Hapana, huyu alikuwa na UTU. Na amekuwa akikemea ujinga, kuwa kwake CCM hakumfanyi awe mbaya. Hakuonesha matendo mabaya, ni bahati mbaya hakuimba wimbo uliotakiwa na watekaji wake.
C chadema wanasema wote waliopo ccm n wabaya, so samuya akitubu mtamsamehe mauaji yake?
 
Hili soko la Uchawa linaonekana lina nguvu kuliko tunavyofikiri.

Inasikitisha lakini haishangazi hata kidogo, mtu akisimama kupinga uongo wa wengi, anaonekana yeye ndiye adui, hii ishu inathibitisha tu kwamba speaking truth to power bado ni kazi ya hatari sana huku kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…