Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili

Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu.

NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake

Soma machache aliyowahi sema:

1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu
2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao
3) Kada wa CCM: Mnanunua watu ili kutukana vyama vingine, hiyo ni dead propaganda

View attachment 3645692
Kwa hiyo ameliwa nyuma? Maana kwa maelezo yako ndicho unamaanisha ulipoisema "kulinda heshima yake"
 
Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu.

NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake

Soma machache aliyowahi sema:

1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu
2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao
3) Kada wa CCM: Mnanunua watu ili kutukana vyama vingine, hiyo ni dead propaganda

View attachment 3645692
CCM imetekwa na wahuni-Polepole.
 
Back
Top Bottom