Naelewa mkuu 'Tate'.Hata nikisema nimekasirika haiwezi kusaidia au kubadilisha chochote. The people are above the law. Nilichomaanisha hapo ni kuombea tu nature iamue yenyewe. Sina uwezo wa kupambana na hao watu. Na nisingependa pia kuitwa Keyboard_Warrior!
Naam.Duh! Kwa hiyo CCM wanahitajika akina Mwashambwa tu kikosi kazi cha kusifia
Yaani kuna watu unaweza fikiri ndio wamefika duniani jana.Which vyombo?
NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake
Hakuna Tangazo lolote la kuiondoa Afcon Tanzania.Tunapoandika humu msidhani tunatania, ndio maana afcon imeondoka
Kuna mmoja, waziri wa kucheza ambaye alimchezeshea vibao mzee waziri mkuu mstaafu, huyu ni kinara katika utekaji na kupoteza watu.Naona mshaelewa watekaji ni nani sasa tusiseme wasiojulikama ni uongo..
Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu.
NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake
Soma machache aliyowahi sema:
1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu
2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao
3) Kada wa CCM: Mnanunua watu ili kutukana vyama vingine, hiyo ni dead propaganda
View attachment 3645692
Inawezekana mkuuKuna mmoja, waziri wa kucheza ambaye alimchezeshea vibao mzee waziri mkuu mstaafu, huyu ni kinara katika utekaji na kupoteza watu.