View: https://youtu.be/ioDIcHwbtPQ?si=c7x7nyRLkGGiCh-4
Ni kati ya Wana CCM wachache wenye busara. Anaitwa Kazungu toka huko Tanga..
Alitekwa na watekaji, wakamfunga kitambaa cheusi usoni na kumpeleka nyumba ya mateso...
Wakiwa wanampa kisago huku wakichanachana matako yake kwa panga lenye makali kuwili, walikuwa wakimuuliza maswali haya;
✓ Kwanini anam support Dr Emmanuel Nchimbi wakati ukijua hawapatani na Rais Samia?
✓ Kwanini anamtetea Dr Emmanuel Nchimbi anapotukanwa? Yeye Kazungu kwanini akerwe Dr Emmanuel Nchimbi anapotukanwa au amepewa nini na Dr Nchimbi?
✓ Kwanini anamtetea Mwenyekiti wa taifa CHADEMA Tundu Lissu wakati yeye Kazungu ni kada wa CCM?
✓ Pia aliulizwa juu ya uhusiano wake na kada mwenzake wa CCM Humphrey Polepole aliyetekwa na kutupwa kusikojulikana
#Ndo hivyo tena. Sasa wameanza kutekana na kuumizana wao kwa wao.
#Kama wamefikia hatua ya kutekana, kutesana na kucharangana mapanga ya matakoni wao kwa wao, basi bila shaka tumefikia pazuri, GIZA limetanda sana na masaa machache kutapambazuka..!

Furaha itatoka wapi mkuu 'Tate', wakati "mbwa mwitu" wa akina Mwaipopo na wao wanaingia kwenye picha hili.Ohooo! Kama wamefikia hatua hii basi yajayo yanafurahisha.
Wewe unafurahi mtu wa bara kufanyiwa huu uharamia na wazanzibar..?Ohooo! Kama wamefikia hatua hii basi yajayo yanafurahisha.
Ni kutoelewa tu mkuu 'TrueVoter', waTanzania wamefikishwa kwenye hali ambayo hawajawahi kuifikia.Wewe unafurahi mtu wa bara kufanyiwa huu uharamia na wazanzibar..?
Inasikitisha ana ,nimeona kwa jinsi walivyomchalaza mapanga kwenye makalio ,nina wasiwasi wale jamaa watakuwa waliMFWELE.Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu.
NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake
Soma machache aliyowahi sema:
1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu
2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao
3) Kada wa CCM: Mnanunua watu ili kutukana vyama vingine, hiyo ni dead propaganda
View attachment 3645692
Sijaelewa mkuu, ukijivua uanachama halafu ukakosoa wanakuacha hawakudhuru?Amepata alichostahili ..wapenda haki wote hawawezi kua CCM ..alipaswa ajivue uanachama kisha akosoe..Kwa mantiki hiyo YEYE NI CCM na ameumizwa na CCM wenzake, SAFI sana
Furaha itatoka wapi mkuu 'Tate', wakati "mbwa mwitu" wa akina Mwaipopo na wao wanaingia kwenye picha hili.
Hata nikisema nimekasirika haiwezi kusaidia au kubadilisha chochote. The people are above the law. Nilichomaanisha hapo ni kuombea tu nature iamue yenyewe. Sina uwezo wa kupambana na hao watu. Na nisingependa pia kuitwa Keyboard_Warrior!Wewe unafurahi mtu wa bara kufanyiwa huu uharamia na wazanzibar..?
Hapana.Tigo imesalimika kweli!!?
Ila Poa tu. CCM ni wale wale tu
Tena ni shetani la kuzimuShetan kabisa
Mbona Pole pole hajarudi?Angekuwa mpizani huyu asingerudi,wangemmaliza kabisa