Polisi wa CCM wamefanya unyama huuBakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu.
NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake
Soma machache aliyowahi sema:
1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu
2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao
View attachment 3645692
ok.🐒Kada wa CCM Kazungu Bakari ametekwa na kuumizwa vibaya, kwasababu ya kuikosoa Serikali haramu ya Samia. Ilikemea watu wanaomshambulia Heche.
]Kada wa CCM: Mnanunua watu ili kutukana vyama vingine, hiyo ni dead propaganda
sahau hilo.Hatua nzuri sana wanapoanza kutekana wao wenyewe hapo ndiyo ufalme huanza kufitinika taratibu
mabeberu vp awajatoa tena fedha?Hadi ifike 2030, ni Mungu pekee ndiye atakaye tunusuru na hawa wauaji.
Siasa ni Vita.SIASA za kutekana ni siasa za kishamba sana
Huo ni upuuz au hamwoniMungu baba tuondolee huyu shetani
Hatuwez kuamini upuuzSiasa ni Vita.
Endeleeni kuamini siasa ni Dini
Shetan kabisaMungu baba tuondolee huyu shetani
Hapana, huyu alikuwa na UTU. Na amekuwa akikemea ujinga, kuwa kwake CCM hakumfanyi awe mbaya. Hakuonesha matendo mabaya, ni bahati mbaya hakuimba wimbo uliotakiwa na watekaji wake.
Una uhakika ni ccm, au unasikia burudani kuwataja..kwa nini sio tiss..Polisi wa CCM wamefanya unyama huu
Sawa sio CCM, swali kwako, CCM kama chama kinachoongoza serikali kinasema nini kuhusu hili?Una uhakika ni ccm, au unasikia burudani kuwataja..kwa nini sio tiss..