Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili

Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili

Duu CCM pale huwa kuna magenge ya utekaji ushirikiana na Polisi pamoja na Usalama wa Taifa.

Kuna vijana wa greenguard huwa wanajifanya usalama wa Taifa ,wakienda polisi kuomba msaada hupewa kwa maelekezo ya hawa Ma DC , DSO na OCD Hutoa ushirikiano wa kwenda kuteka.

Wanaita jeshi kunoga

Yaaani CCM wana uwezo wa kutoa maelekezo kwa akina Mrilo mtu flani CHAMA kimesema atekwe na apotezwe na mipango ikapangika.

CCM atatoka madarakani sio kwa kura ni kwa mtutu wa bunduki.
Uko sahihi, ccm itatoka madarakani kwa machafuko tu. Hizo ni athari za kuwa na utawala wa muda mrefu wa mtu mmoja au chama kimoja. Mara nyingi wanapokaribia mwisho wa utawala wao, hutengeneza makundi ya kiharamia kupoteza na kutia hofu ili watu wasithubutu kuwatoa madarakani.
 
Sawa sio CCM, swali kwako, CCM kama chama kinachoongoza serikali kinasema nini kuhusu hili?
Kuuliza tu kinasema nini ina matokeo gani? Ukilinganisha na kuwataja wahusika kwa jina lao..kipi kina matokeo..
 
Duu CCM pale huwa kuna magenge ya utekaji ushirikiana na Polisi pamoja na Usalama wa Taifa.

Kuna vijana wa greenguard huwa wanajifanya usalama wa Taifa ,wakienda polisi kuomba msaada hupewa kwa maelekezo ya hawa Ma DC , DSO na OCD Hutoa ushirikiano wa kwenda kuteka.

Wanaita jeshi kunoga

Yaaani CCM wana uwezo wa kutoa maelekezo kwa akina Mrilo mtu flani CHAMA kimesema atekwe na apotezwe na mipango ikapangika.

CCM atatoka madarakani sio kwa kura ni kwa mtutu wa bunduki.
ccm wanatuingiza pabaya
 

Attachments

  • E2J15v45XLSQdTMG.jpeg
    E2J15v45XLSQdTMG.jpeg
    58 KB · Views: 12

Attachments

  • 1000170151.png
    1000170151.png
    1.7 MB · Views: 11
  • Screenshot_20260520-120655~2.png
    Screenshot_20260520-120655~2.png
    373.5 KB · Views: 12
  • images (27).jpeg
    images (27).jpeg
    8.6 KB · Views: 13
  • IMG-20260415-WA0001.jpg
    IMG-20260415-WA0001.jpg
    53.5 KB · Views: 12
CCM ni mashetani na wauaji mtu aoni noma kwakua yy ni mzenji.
Kazi ni kipimo cha utu
 
KUpitia hii video nimrmchukia sana huyu sa200.Ipo siky tutamwadabisha na yeye.mshenzi sana huyu kibogoyo.
 
Back
Top Bottom