kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,477
- 5,096
Aiseeee
Wapenda chama na wazalendo ndani ya ccm nao watengeneze kikundi ndani ya chama chao ili kulinda na kujibu mashambulizi vinginevyo watamalizwa sana .Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu.
NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake
Soma machache aliyowahi sema:
1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu
2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao
3) Kada wa CCM: Mnanunua watu ili kutukana vyama vingine, hiyo ni dead propaganda
View attachment 3645692
Labda wewe mgeni.Matukio ya utekaji yalikuwa dhidi ya wakosoaji wa serikali na wapinzani wa kisiasa sio wana CCM kwa wana CCM
Chukua hii inaweza kukusaidia kupunguza roho mbaya.ok.
na hapo nyuma anadai walimfanyaje?🐒
Propaganda za CCM ili ulaya wajue kuwa etekaji na unyama wanafanyiwa watu wote siyo wapinzani tu.Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu.
NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake
Soma machache aliyowahi sema:
1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu
2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao
3) Kada wa CCM: Mnanunua watu ili kutukana vyama vingine, hiyo ni dead propaganda
View attachment 3645692
Inasikitisha kwa kweli.Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu.
NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake
Soma machache aliyowahi sema:
1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu
2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao
3) Kada wa CCM: Mnanunua watu ili kutukana vyama vingine, hiyo ni dead propaganda
View attachment 3645692
Ni jambo jema wewe kuona na kutambua hilo. Sasa nakusihi usiwe unachambua mtizamo huo kwa misingi nani kafanyiwa unyama.Ni unyama amefanyiwa, siyo kitendo cha ustaarabu
Mmeamua kumkanda kada mwenzenuUnasemaje
HapanaMmeamua kumkanda kada mwenzenu
Kitendo hiki hakikubaliki kwa yeyote anayeamini kwenye utu na haki za binadamu. Hata hivyo tusiwe wepesi kuhukumu na kubashiri washukiwa. Haya ni maisha na lolote laweza kuwa limetokea. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vitusaidie kufanya uchunguzi na wote watakaobainika kuhusika na hayo wawajibishwe.Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu.
NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake
Soma machache aliyowahi sema:
1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu
2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao
3) Kada wa CCM: Mnanunua watu ili kutukana vyama vingine, hiyo ni dead propaganda
View attachment 3645692
NonsenseHapana
Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu.
NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake
Soma machache aliyowahi sema:
1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu
2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao
3) Kada wa CCM: Mnanunua watu ili kutukana vyama vingine, hiyo ni dead propaganda
View attachment 3645692
Huyo aliyempiga picha ndiyo kamtekaBakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu.
NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake
Soma machache aliyowahi sema:
1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu
2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao
3) Kada wa CCM: Mnanunua watu ili kutukana vyama vingine, hiyo ni dead propaganda
View attachment 3645692
Mambo ya ovyo kabisa!Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu.
NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake
Soma machache aliyowahi sema:
1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu
2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao
3) Kada wa CCM: Mnanunua watu ili kutukana vyama vingine, hiyo ni dead propaganda
View attachment 3645692
Maswali ya kijinga!ok.
na hapo nyuma anadai walimfanyaje?🐒
Niliona video yake, jamaa wamemuharibu matako yake😪Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu.