Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
ok.🐒Maswali ya kijinga!
ok.🐒Maswali ya kijinga!
HAKUNA Mtanganyika yeyote aliyepo salama hata hao wanaowateka wenzao! Kila mmoja atafikiwa!Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu.
NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake
Soma machache aliyowahi sema:
1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu
2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao
3) Kada wa CCM: Mnanunua watu ili kutukana vyama vingine, hiyo ni dead propaganda
View attachment 3645692
Na walivyo mashetani usikute wamevurugwa vuruga njia.Niliona video yake, jamaa wamemuharibu matako yake😪
Huyu mimi nilimtia ignore list sababu sitaki kuona mchango wake hata mmoja. Huwa anaumiza na kutia hasira pale anapochangia kitu kwa dhihaka wakati ni jambo linaloumiza na kusitikisha. So, niliachana nae kabisa kusoma anachoandika. Naonaga tu mnavyomjibu ila sioni na sitaki kuona ameandika nini cause anakupa hasira na simanzi tu!Unaongea kidhahaka utafikiri kitu cha kufurahisha!!!
Matakoni sijui walikuwa wanamchapia na waya maana amechanikachanika sidhani kama anaweza kukaa zaidi ya kulala. Iwe tu hawajamvuruga nyuma maana jamaa wanaroho mbaya sana.Yaan mi naonaga mtu amabae anamgeuza mwenzie nyuma basi kuuwa kwake ni rahisi sna maana yahitaji ujasiri sana kufanya kitendo hicho.Na walivyo mashetani usikute wamevurugwa vuruga njia.
Which vyombo?Kitendo hiki hakikubaliki kwa yeyote anayeamini kwenye utu na haki za binadamu. Hata hivyo tusiwe wepesi kuhukumu na kubashiri washukiwa. Haya ni maisha na lolote laweza kuwa limetokea. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vitusaidie kufanya uchunguzi na wote watakaobainika kuhusika na hayo wawajibishwe.
Matukio kama haya yako mengi sana na mengi hayajawahi kupatiwa majibu na hivyo vyombo vya ulinzi na hiki ndo kinafanya watu waende mbali na kuhisi kwamba watekelezaji wa hayo matukio ni haohao unaowaomba wewe walifanyie kazi! Pole mkuu hamna kesi hapo.Kitendo hiki hakikubaliki kwa yeyote anayeamini kwenye utu na haki za binadamu. Hata hivyo tusiwe wepesi kuhukumu na kubashiri washukiwa. Haya ni maisha na lolote laweza kuwa limetokea. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vitusaidie kufanya uchunguzi na wote watakaobainika kuhusika na hayo wawajibishwe.
Matamko ya Chadema sio kipimo cha usahihi, hata wao huwa wanapuyanga mara nyingi tu.C chadema wanasema wote waliopo ccm n wabaya, so samuya akitubu mtamsamehe mauaji yake?
Pesa za kukuchumbia?mabeberu vp awajatoa tena fedha?
Kwani shida ni utu wake? Shida ni kuanza kutambua na kung'amua kipi ni cheusi kipi no cheupe... Huyu alijipambanua kutenganisha rangi ndo kosa ... Wapo wengi sana wanaoona hiyo rangi ila dawa ni moja ukaushe kama huoni au utambue rangi kisha uonyeshwe.Hapana, huyu alikuwa na UTU. Na amekuwa akikemea ujinga, kuwa kwake CCM hakumfanyi awe mbaya. Hakuonesha matendo mabaya, ni bahati mbaya hakuimba wimbo uliotakiwa na watekaji wake.
AiseeBakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu.
NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake
Soma machache aliyowahi sema:
1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu
2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao
3) Kada wa CCM: Mnanunua watu ili kutukana vyama vingine, hiyo ni dead propaganda
View attachment 3645692
Labda wewe ndiyo mgeni weka uwiano halafu urudi huyo diwani mmoja haya twende kwa viongozi wa upinzaniLabda wewe mgeni.
Diwani wa kako... Alikua chademo sio
Sawa mwenyeji.Labda wewe ndiyo mgeni weka uwiano halafu urudi huyo diwani mmoja haya twende kwa viongozi wa upinzani
Ishu sio kuanza leo nimeandika angalia uwiano kati ya wana CCM na wapinzani kundi gani limelengwa sana??Sawa mwenyeji.
wewe jua tu alijaanza leo.