Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
I am!No, you shouldn't.
I am!No, you shouldn't.
Tanzania inaongoza kwa Utekaji kwa sasa Duniani, ikifuatiwa na AfghanistanKesi bado mbichi sana! ... hapo nimetoa tu maeneo ya kuangalia, kinachofuata ni background check ya muhusika, ikiwa ni pamoja na kuchukua maelezo yake na watu wa karibu yake!
Usiniambie, utakapokuwa waziri wa katiba na sheria, utaendesha 'Cangaroo Courts;!
Acha maskhara!Tanzania inaongoza kwa Utekaji kwa sasa Duniani, ikifuatiwa na Afghanistan
Tunapoandika humu msidhani tunatania, ndio maana afcon imeondokaAcha maskhara!
🤔Tunapoandika humu msidhani tunatania, ndio maana afcon imeondoka
Hukohuko kwenu,unakoita Chama KUBWA!NANI ALIYEMTEKA KADA WA CCM, BAKARI KAZUNGU?
Kesi nyingine zinahitaji mpelelezi huria asiyeshikamana na upande wowote, japo 'VERDICT' inapotoka bado watu watampa upande maana jibu la mwisho lazima litaumiza upande fulani.
Nimeamua kununua hii kesi ya Bakari Kazungu kama mpelelezi huria na ninajua si kila mtu atapendezwa na kila nitakachoandika hapa, kwahiyo nakaribisha maoni ya wote, hata wale watakaoniita GAIDI, CHAWA, MUONGO, NA KADHALIKA!
Watuhumiwa wa kwanza kabisa mi maadui binafsi, ikiwa ni pamoja na washindani wa kimapenzi, siasa, mali na mengine mengi ambao waliiona fursa ya yeye kuwa na mgogoro na CHAMA KUBWA kama kichaka cha kuficha njama zao za kumuadabisha ambazo kabla zingegunduliwa KIRAHISI!
Watuhumiwa wa pili ni wenzie wa CHAMA KUBWA ambao waliona kauli zake kuhusu matukio ya hivi karibuni kuwa ni kero zinazolenga kugawa chama chao! ... Lakini kutokana na CHAMA KUBWA kuwa na kambi kinzani inawezekana pia ikawa hila ya kambi moja dhidi ya nyingine!
Soma Pia: Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili
Watuhumiwa wengine, japo hii ni kwa uwezekano mdogo, ni wapinzani walioona kelele zake dhidi ya wenzie zinawapa fursa ya kufanya shambulizi dhidi yake na kuzidi kuchafua taswira ya CHAMA KUBWA huku mtuhumiwa akibaki kuwa CHAMA KUBWA, maana mgogoro alioanzisha jamaa na wenzie tayari umeleta KICHAKA PENDWA!
MY TAKE: KAULI NA MATENDO YETU TUYAFANYE BAADA YA KUFIKIRI MARA MBILIMBILI MAANA KUNA MAZIMWINGARA KIBAO YAMEKAA YANASUBIRI PA KUANZIA NA MWISHO WA SIKU YAKITUKUTA TUTABAKI NA LABDA! CHUKUA TAHADHALI!
View attachment 3646470
Hawezi kukujibu nae ni mboga mboga,yamemkuta,haamini,watakulana mpaka.......!..uchambuzi mzuri sana.
..sasa ktk makundi yote hayo ni kundi lipi lina uwezo wa kufanya tukio lililomtokea bwana Kazungu?
..pia kundi lipi lina historia ya kufanya matukio kama lililomkuta Kazungu kwa weledi na mafanikio ukilinganisha na mengine uliyoyataja?
KARIBU SANA! 😅Hukohuko kwenu,unakoita Chama KUBWA!
Haki huliinua Taifa,dhuluma huliangamiza Taifa, Utayaona.KARIBU SANA! 😅
Wewe ni mpumbavu kabisa. Unajaribu ku-complicate kitu ambacho ni rahisi kabisa. Uhuni unafanywa na CCM na wewe unaleta akili mgando hapa kupoteza muda wa watu. Idiot.Kesi bado mbichi sana! ... hapo nimetoa tu maeneo ya kuangalia, kinachofuata ni background check ya muhusika, ikiwa ni pamoja na kuchukua maelezo yake na watu wa karibu yake!
Usiniambie, utakapokuwa waziri wa katiba na sheria, utaendesha 'Kangaroo Courts'!
Hatari sanaBakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu.
NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake
Soma machache aliyowahi sema:
1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu
2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao
3) Kada wa CCM: Mnanunua watu ili kutukana vyama vingine, hiyo ni dead propaganda
View attachment 3645692
KARIBU SANA! 🥰Wewe ni mpumbavu kabisa. Unajaribu ku-complicate kitu ambacho ni rahisi kabisa. Uhuni unafanywa na CCM na wewe unaleta akili mgando hapa kupoteza muda wa watu. Idiot.
Kesi bado mbichi sana! ... hapo nimetoa tu maeneo ya kuangalia, kinachofuata ni background check ya muhusika, ikiwa ni pamoja na kuchukua maelezo yake na watu wa karibu yake!Haki huliinua Taifa,dhuluma huliangamiza Taifa, Utayaona.
Ni maswali ya kitoto.NANI ALIYEMTEKA KADA WA CCM, BAKARI KAZUNGU?
Kesi nyingine zinahitaji mpelelezi huria asiyeshikamana na upande wowote, japo 'VERDICT' inapotoka bado watu watampa upande maana jibu la mwisho lazima litaumiza upande fulani.
Nimeamua kununua hii kesi ya Bakari Kazungu kama mpelelezi huria na ninajua si kila mtu atapendezwa na kila nitakachoandika hapa, kwahiyo nakaribisha maoni ya wote, hata wale watakaoniita GAIDI, CHAWA, MUONGO, NA KADHALIKA!
Watuhumiwa wa kwanza kabisa mi maadui binafsi, ikiwa ni pamoja na washindani wa kimapenzi, siasa, mali na mengine mengi ambao waliiona fursa ya yeye kuwa na mgogoro na CHAMA KUBWA kama kichaka cha kuficha njama zao za kumuadabisha ambazo kabla zingegunduliwa KIRAHISI!
Watuhumiwa wa pili ni wenzie wa CHAMA KUBWA ambao waliona kauli zake kuhusu matukio ya hivi karibuni kuwa ni kero zinazolenga kugawa chama chao! ... Lakini kutokana na CHAMA KUBWA kuwa na kambi kinzani inawezekana pia ikawa hila ya kambi moja dhidi ya nyingine!
Soma Pia: Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili
Watuhumiwa wengine, japo hii ni kwa uwezekano mdogo, ni wapinzani walioona kelele zake dhidi ya wenzie zinawapa fursa ya kufanya shambulizi dhidi yake na kuzidi kuchafua taswira ya CHAMA KUBWA huku mtuhumiwa akibaki kuwa CHAMA KUBWA, maana mgogoro alioanzisha jamaa na wenzie tayari umeleta KICHAKA PENDWA!
MY TAKE: KAULI NA MATENDO YETU TUYAFANYE BAADA YA KUFIKIRI MARA MBILIMBILI MAANA KUNA MAZIMWINGARA KIBAO YAMEKAA YANASUBIRI PA KUANZIA NA MWISHO WA SIKU YAKITUKUTA TUTABAKI NA LABDA! CHUKUA TAHADHALI!
View attachment 3646470
Maswali ya kitoto ya kukwepa wahusika wanaotambulika.NANI ALIYEMTEKA KADA WA CCM, BAKARI KAZUNGU?