Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili

..uchambuzi mzuri sana.

..sasa ktk makundi yote hayo ni kundi lipi lina uwezo wa kufanya tukio lililomtokea bwana Kazungu?

..pia kundi lipi lina historia ya kufanya matukio kama lililomkuta Kazungu kwa weledi na mafanikio ukilinganisha na mengine uliyoyataja?
 
Mchango wako wa mawazo ni muhimu! ... ila kesi bado mbichi na inakanganya!
 
NANI ALIYEMTEKA KADA WA CCM, BAKARI KAZUNGU?

Kesi nyingine zinahitaji mpelelezi huria asiyeshikamana na upande wowote, japo 'VERDICT' inapotoka bado watu watampa upande maana jibu la mwisho lazima litaumiza upande fulani.

Nimeamua kununua hii kesi ya Bakari Kazungu kama mpelelezi huria na ninajua si kila mtu atapendezwa na kila nitakachoandika hapa, kwahiyo nakaribisha maoni ya wote, hata wale watakaoniita GAIDI, CHAWA, MUONGO, NA KADHALIKA!

Watuhumiwa wa kwanza kabisa mi maadui binafsi, ikiwa ni pamoja na washindani wa kimapenzi, siasa, mali na mengine mengi ambao waliiona fursa ya yeye kuwa na mgogoro na CHAMA KUBWA kama kichaka cha kuficha njama zao za kumuadabisha ambazo kabla zingegunduliwa KIRAHISI!

Watuhumiwa wa pili ni wenzie wa CHAMA KUBWA ambao waliona kauli zake kuhusu matukio ya hivi karibuni kuwa ni kero zinazolenga kugawa chama chao! ... Lakini kutokana na CHAMA KUBWA kuwa na kambi kinzani inawezekana pia ikawa hila ya kambi moja dhidi ya nyingine!

Watuhumiwa wengine, japo hii ni kwa uwezekano mdogo, ni wapinzani walioona kelele zake dhidi ya wenzie zinawapa fursa ya kufanya shambulizi dhidi yake na kuzidi kuchafua taswira ya CHAMA KUBWA huku mtuhumiwa akibaki kuwa CHAMA KUBWA, maana mgogoro alioanzisha jamaa na wenzie tayari umeleta KICHAKA PENDWA!

MY TAKE: KAULI NA MATENDO YETU TUYAFANYE BAADA YA KUFIKIRI MARA MBILIMBILI MAANA KUNA MAZIMWINGARA KIBAO YAMEKAA YANASUBIRI PA KUANZIA NA MWISHO WA SIKU YAKITUKUTA TUTABAKI NA LABDA!
CHUKUA TAHADHALI!

View attachment 3646470

Si walidhani watatekwa Chadema pekee sasa ushetani unawarudia wenyewe
 
Soma Pia: Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili

Watuhumiwa wengine, japo hii ni kwa uwezekano mdogo, ni wapinzani walioona kelele zake dhidi ya wenzie zinawapa fursa ya kufanya shambulizi dhidi yake na kuzidi kuchafua taswira ya CHAMA KUBWA huku mtuhumiwa akibaki kuwa CHAMA KUBWA, maana mgogoro alioanzisha jamaa na wenzie tayari umeleta KICHAKA PENDWA!

MY TAKE: KAULI NA MATENDO YETU TUYAFANYE BAADA YA KUFIKIRI MARA MBILIMBILI MAANA KUNA MAZIMWINGARA KIBAO YAMEKAA YANASUBIRI PA KUANZIA NA MWISHO WA SIKU YAKITUKUTA TUTABAKI NA LABDA!
CHUKUA TAHADHALI!

View attachment 3646470
Kwa ccm wapeane lolote baya ili ifike siku Tanzania ikiongea habari ya uzalendo iwe ni uzalendo unaotambulika na binadamu yeyote duniani na sii uzalendo ccm ama uzalendo ufisadi,rushwa,utekaji ama uzalendo itikadi.!
 
Wana ccm wenzangu lazima wajue!!

Kinachoendelea kilihalalishwa na Bunge la awamu iliyopita kama Sheria ya usalama wa taifa!!

Yaani

wannausalama hawatakua na hatia yoyote katika utekelezaji wa majukumu yao,yaani hata wakiamua wamteke waziri au hata Rais hawatakua na hatia yoyote!!

Hii Sheria itakula Hadi wakubwa na itatumika muda ukifika wataitumia kuwateka hata kuwaua wakubwa wa nchi kwa kigezo hicho cha kisheria!!

Kosoa Kwa kutoa mbadala wa nini serikali ifanye kuliko kuishambulia serikali!!
 
No, you shouldn't.
Yes he/she shouldn't!!
tumetoka kwenye uchama tunaenda kwenye uzalendo na utaifa!

Utaifa una momonyoka na hakuna usalama tena kwa yeyote!

Kwa Sheria Ile ya usalama yeyote anaweza kufanywa chochote hata kama ni Rais wa nchi!!

Sheria Inasema wazi kwamba "wanausalama hawatokua na hatia yoyote katika utekelezaji wa majukumu yao!!

What if assignment ikawa ni kumuondoa mkubwa zaidi wa nchi au namba mbili,it means hawatokua na hatia yoyote!!

Sheria ile ni hatari kwa wote sio kwa wanaharakati na upinzani pekee hata wakubwa inawahusu!
 
Hili soko la Uchawa linaonekana lina nguvu kuliko tunavyofikiri.

Inasikitisha lakini haishangazi hata kidogo, mtu akisimama kupinga uongo wa wengi, anaonekana yeye ndiye adui, hii ishu inathibitisha tu kwamba speaking truth to power bado ni kazi ya hatari sana huku kwetu.
Kina Abdul wanamwaga hela mzee kwa wale machawa ndio maana wap tayari kufanya chochote kufurahisha watawala..Yule dogo Kiliba raisi wa Tahliso amenunuliwa nyumba na Abdul ya Million 80 ingawa wao wamepewa million 90 na Abdul kanunuliwa gari na alikuwa na maisha magumu sana mama yake alikimbia Morogoro kwasababu ya madeni, baba yake alikuwa welder pale sabasaba Morogoro anaitwa Joram siku hizi na yeye kafunga ofisi anakula mema yanchi tu.
 
NANI ALIYEMTEKA KADA WA CCM, BAKARI KAZUNGU?

Kesi nyingine zinahitaji mpelelezi huria asiyeshikamana na upande wowote, japo 'VERDICT' inapotoka bado watu watampa upande maana jibu la mwisho lazima litaumiza upande fulani.

Nimeamua kununua hii kesi ya Bakari Kazungu kama mpelelezi huria na ninajua si kila mtu atapendezwa na kila nitakachoandika hapa, kwahiyo nakaribisha maoni ya wote, hata wale watakaoniita GAIDI, CHAWA, MUONGO, NA KADHALIKA!

Watuhumiwa wa kwanza kabisa mi maadui binafsi, ikiwa ni pamoja na washindani wa kimapenzi, siasa, mali na mengine mengi ambao waliiona fursa ya yeye kuwa na mgogoro na CHAMA KUBWA kama kichaka cha kuficha njama zao za kumuadabisha ambazo kabla zingegunduliwa KIRAHISI!

Watuhumiwa wa pili ni wenzie wa CHAMA KUBWA ambao waliona kauli zake kuhusu matukio ya hivi karibuni kuwa ni kero zinazolenga kugawa chama chao! ... Lakini kutokana na CHAMA KUBWA kuwa na kambi kinzani inawezekana pia ikawa hila ya kambi moja dhidi ya nyingine!

Soma Pia: Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili

Watuhumiwa wengine, japo hii ni kwa uwezekano mdogo, ni wapinzani walioona kelele zake dhidi ya wenzie zinawapa fursa ya kufanya shambulizi dhidi yake na kuzidi kuchafua taswira ya CHAMA KUBWA huku mtuhumiwa akibaki kuwa CHAMA KUBWA, maana mgogoro alioanzisha jamaa na wenzie tayari umeleta KICHAKA PENDWA!

MY TAKE: KAULI NA MATENDO YETU TUYAFANYE BAADA YA KUFIKIRI MARA MBILIMBILI MAANA KUNA MAZIMWINGARA KIBAO YAMEKAA YANASUBIRI PA KUANZIA NA MWISHO WA SIKU YAKITUKUTA TUTABAKI NA LABDA!
CHUKUA TAHADHALI!

View attachment 3646470
Mtekaji ni yuleyule aliyemuua Polepole
 
Mtekaji ni yuleyule
Kesi bado mbichi sana! ... hapo nimetoa tu maeneo ya kuangalia, kinachofuata ni background check ya muhusika, ikiwa ni pamoja na kuchukua maelezo yake na watu wa karibu yake!
Usiniambie, utakapokuwa waziri wa katiba na sheria, utaendesha 'Kangaroo Courts'!
 
Back
Top Bottom