Tetesi: Kadinal Pengo Kuzungumza na wanahabari Jumamosi

Status
Not open for further replies.
Ni ngumu kwa Mh Kadinali PENGO kutoa matamko yanayolenga ubaguzi.
 
Absolutely
 
 
Lakini mbona huwa wanasema ati kesi ya ngedere usimpelekee nyani?
 
Watu mnapiga mayowe wakati hata mfumo wa kanisa katoliki hamuufahamu.
Haiwezekani askofu au kadinari kufanya press conference !
Labda kama ataongea kwenye ibada.
umesikia lini kanisa linachangia Madawati.

pia mtoa mada kaleta kama tetesi lakini vichwapanzi wanachangia kama Pengo kasema.
 
Labda universe ya bongo,
kanisa catolic duniani halina ushawishi wowote,zaidi ya kujipa promo tu,
bora hata walokole wanajitahidi kujaribu kucontrol kuliko wao
 
Zamu ya katoliki ndo maana hata teuzi za muheshimiwa ni wakatoliki asilimia 90% na hakuna anayesema udini, subirini mwimbo wa udini 2025 tena
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…