Sio kweli, jitahidi ujielimishe kwanza. Uislam ni dini iliyonyooka kuamini katika Mungu mmoja kama ukristo na uyahudi.Uislam ni Dini ya Majini
Yaaaaanii sisi tunakubaligi tuu kwa sababu ni ngozi nyeupe basii mbona kwenye kusali kama ni kupiga magoti mweusi na yy anapiga? Kwani ni unatamaduni wetu? Ni ubaguzi wa hali ya juu.Kwanini hajΓ pewa salamu kama wenzake?
Mfano.....Kuna nchi nyingi tu hazina dini
Ukristo siyo dini.
Wapi panaposema Ukristo ni dini?Acha kudharau Dini za watu,Mungu ni mmoja,tulichotofautiana ni taratibu za kumuabudu tu ndugu yangu.Waislam wanaabudu hivi wakristo wanaabudu vile.lakini mwisho wa siku wote tunamtaja Mungu,hata mitume wetu ni wale wale.
Na madrasa ni madanguro, walimu wa madrasa mara nyingi hukamatwa kwa kuwaingilia wanafunzi wao bila kujali jinsi. Haya yanayitokea ni udhaifu wa watuhumiwa na wala si udhaifu wa misikiti wala makanisa kama unavyodhani wewe mbaguzi wa kidini.Wewe ni mtumwa wa fikra, hata ukiambiwa kanisa ni chaka la ulawiti wa watoto wetu utabisha
Mimi siye niliyesema "kadinali mweusi abaguliwa waziwazi".
Hakuna ubaguzi hapo! Huoni kuwa hiyo ndiyo namna anayoipendelea?KADINALI MWEUSI ABAGULIWA WAZI WAZI
View attachment 2773929
Unajua haya mambo ya Wa Afrika kudandia dini za wazungu huwa yananikera Sana Sana, sisi WaAfrika tumepoteza identify yetu kwa kukimbilia mila,desturi na taratibu za wazungu na kukanyaga, kuzikana na kuzidharua Mila na desturi zetu.
Kwani Kabla ya wazungu na waarabu kuja sisi WaAfrika tulikuwa hatuabudu ? Ukweli ni kwamba tulikuwa tunaahudu na Mungu alitusikia, kila hitaji letu tulilipata kwa utaratibu wa ibada zetu.
Ujio wa wazungu na waarabu umeua Mila zetu, ni ujinga kuamini kuwa Sala zao ndio za kweli na Sala zetu ni matambikoπ ukienda Japan, china etc walikataa ujanja wa wazungu , wamebaki na Mila zao za ibada.
Laana ya kuacha Mila zetu itatugharimu Afrika, mabalaa yote ya Africa ni juu ya laana ya kukataa Mila zetu na kufata Mila za wazungu na waarabu. Ona Sasa hii aibu ya Kadinali mwafrika kubaguliwa waziwazi π
Na yule anayesalimia pia kaonesha ni mstaarabu, hakulazimisha kusalimia kwa staili isiyopendwa na kadinali mweusi.Wenzie walikua wana-extend mikono wakumbatiwe kadinal mweusi akanyoosha mkono ni maswala ya kitamaduni
Siyo mbaya ukianza kurudisha wewe.Zamani tunasalia chini ya miti mbn ilikua frsh tu sio mbaya kama utamaduni itarudishwa
dini ni ya mud tu!Ukristo siyo dini.
Hata hiyo uiandikayo siifahamu.dini ni ya mud tu!
I don't believe your faithHata hiyo uiandikayo siifahamu.
Qur'an 3:19.
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. 19
Zote na uislam piaUkristo siyo dini.
Uislam siyo dini ila ni "Ustaarabu".Ukristo siyo dini.