Kadinali mweusi abaguliwa waziwazi

M Maskini! Wamejipamba au wameadhibiwa? Ujinga ni mzigo.
 
Uko sahihi mkuu!
 
 
Hata kuandika na kuwasiliana kwa teknolojia tumeiga sijui tungefanyaje ila tuna nafasi ya kujiondoa
Hatujaiga bali tumeletewa, ila kama nyie mnataka kujiondoa mjiondoe tu maana mimi sina huo mpango leo wala kesho.
 
 
Ni imani potofu ya kuabudu Mzungu badala ya Mwenyezi Mungu.
Inawezekana kweli wakristo weusi tunaabudu wazungu kwa kiasi fulani. Lakini haijafikia kiasi ambacho waislamu weusi wanavyoabudu waarabu... Wamefanywa kuamini kuwa Alah husikia kiarabu tu.
 
Wazungu ni njia yao ya kusalimia.

Muafrika kampa mkono na huyo anayesalimia wenzake, ametumia muda mrefu kidogo kuzungumza na huyo black, huku wameshikana mikono.

Sioni ubaguzi wa aina yeyote. Acheni upotoshaji.
Nice observation!
 
Inawezekana kweli wakristo weusi tunaabudu wazungu kwa kiasi fulani. Lakini haijafikia kiasi ambacho waislamu weusi wanavyoabudu waarabu... Wamefanywa kuamini kuwa Alah husikia kiarabu tu.
Waislam wa dunia nzima wanaabudu Allah pekee:

Qur'an 47:19.
Basi jua ya kwamba hapana mungu ila Allah (Mwenyezi Mungu), na omba maghufira kwa dhambi zako na za Waumini wanaume na Waumini wanawake. Na Mwenyezi Mungu anajua mahali penu pa kwenda na kurudi, na mahali penu pa kukaa. 19
 
Waliabudu mizimu kwa maana shetani akichukua advantage ya wao kutokumjua Mungu akajifanya mungu kwao wakimtolea sadaka na kafara za damu.
Shetani ni nani na Mungu ni nani?

Kwa nini Mungu huyo alijulikana tu na wazungu?

Na shetani huyo akajulikana tu na waafrika?

Mungu huyo Alishindwaje kujidhihirisha kwa watu wote duniani kote kwa wakati mmoja?
Mababu zetu walituingiza kwenye maagano ya ibada zao ambayo ndio yameleta shida kuu za watu wa Sasa zikiwemo vifungo,laana na mikosi mbalimbali mfano umasikini, magonjwa,udumavu wa fikra,nk.
Kama ingekuwa ni hivyo, mbona baada ya kumjua Mungu huyo
unayedai ni wa kweli, magonjwa umaskini,udumavu wa fikra na matatizo yapo vilevile barani Afrika?

Shida za waafrika na Umaskini zinatokana na ujinga na Upumbavu wa waafrika.


Dini za Sasa zimeleta ukombozi wa mwili na roho kwa maana watu Sasa wanamuabduu Mungu wa kweli.
Mungu gani wa kweli, Aliyeshindwa kujidhihirisha kwa watu wote duniani kwa wakati mmoja?

Nakwambia hivi 👇

Mungu huyo Hayupo.

Na shetani Hayupo.
 
Hivi kweli, ukiacha vyakula, ni kipi kinatumika nchini kwa mahitaji ya kila siku ambacho hakijaletwa na wageni?
Tatizo la waafrika badala ya kuamka, wao wanajifanya wameamka. Matokeo yakewanazidi kujichelewesha kwa kujidanganya na story nyingi za kujitungia.
 
Wasioenda shule kama wewe wamekalia eti ubaguzi, walioenda shule kama akina Obama wanakuwa marais wa hao wanaodaiwa wabaguzi, ukifeli darasani siku zote utajiona unabaguliwa.
Hivi kulisha wahi kuwepo papa mwafrika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…